Ndondobwila
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 562
- 409
He!...'Rais mtarajiwa' anagawa rushwa?
--------- Na mtoto wa maskini!!!!
He!...'Rais mtarajiwa' anagawa rushwa?
Something is wrong somewhere. Tatizo wakiwa bungeni hujisahau kuwa hawawezekani wao ndo kila kitu. Huu ndo mwanzo wa mwisho, hiyo ni ndani ya chama, bado nje na mbaya zaidi hawapo wamoja...
Napendekeza, "ccm waweke kipengele cha rushwa kuwa ni miongoni mwa sera na uhai wa chama"