Mwigulu afafanua utofauti wa deni la Serikali na deni la Taifa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.

Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.

Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.

"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".

Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.

View attachment 3381354
Spinning
 
Attachments

  • VID-20250624-WA0002.mp4
    9.7 MB

Hapo tafsiri ni nini?
Kama kweli Private company imekopa kama yenyewe kwa nini liwe deni la Taifa? Kama kampuni binafsi imekopa kwa Guarantee ya Bank kuu basi hilo ni Deni la Taifa-na ni la serikali. Bank iki-guarantee basi ni deni la serikali, Bank kuu ni ya serikali. Hapo inawezekana wanatumia Kampuni zao private wanakopa-kwa ktumia guarantee ya Bank Kuu yetu; kwa hiyo Mwigulu katufumbua macho.
 
Kampuni binafsi ikikopa nje kama yenyewe hilo ni deni la taifa Mwigulu yuko sahihi

Ila Sidhani Tanzania ina kampuni yenye uwezo wa kukopa nje “ kimkataba” 😂
 
Hivi waziri wa fedha ndiye minister of finance au ni minister of money!?
Hivi hii ndio nafasi ile ile aliyohudumu Cleopa Msuya, Mbilinyi nk!?
Mbali na kuweka sahihi kwenye noti kazi zao zingine ni zipi?
Msaada tafadhali
 
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.

Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati akihitimisha mjadala wa bajeti kuu ya Serikali ambapo amesema kuna hoja mbili ambazo wananchi wanapaswa kuzifahamu ambazo ni suala la deni la Serikali na deni la Taifa.

Amesema deni la Taifa ni deni linalohusisha deni la Serikali pamoja na deni la sekta binafsi na pale linapokuwa halina tafsiri mbaya kutokana na baadhi ya kampuni binafsi hukopa kutokana na kutokuwa na mitaji ambapo mkopo huo huingizwa kwenye deni la Taifa.

"Wananchi hawahitaji kushtuka kuhusu habari ya deni la Taifa sababu ya sehemu kubwa inaenda kwenye upande wa makampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa".

Aidha, amesema kwa upande wa deni la Serikali ni deni linaloangaliwa kwa kuhusianisha na mapato ya Serikali ambapo Serikali hutumia utaratibu wa kukopa ili kuharakisha utekelezaji wa miradi ambapo kinachoitofautisha Tanzania na nchi nyingine kupewa kipaumbele cha kukopa ni nidhamu ya matumizi ya fedha hizo ambapo nchi nyingine hukosa nidhamu hiyo na kusababisha kuzuiwa kupata mikopo hiyo.
View attachment 3381354
Kwa hiyo deni la mama Ni T ngapi?
 
mbona limeongezela ghafla awamu ya chura kiziwi?
 
Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba ametumia Bunge kutoa ufafanuzi wa utofauti wa Deni la Taifa na Deni la Serikali baada ya kusema kumekuwa na mkanganyiko kuhusu hoja hizo mbili, amezungumza hayo leo Juni 24, 2025.

Kumbe hata nikiweka songesha nakuwa naongeza deni la taifa🐼
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom