Wakuu
Akizungumza leo, Juni 28, 2026 Msemaji Mkuu wa Serikali amesema kwamba Nchi inakopa kwa sababu inakopesheka. Benki au taasisi yoyote ya fedha haiwezi kutoa mkopo bila kujiridhisha na uwezo na mpango thabiti wa mkopaji kurejesha fedha hizo.
"Fedha nyingine tunakopa. Ni kweli, najua kuna...
Tunakwenda wapi? Huko mbele Watanzania wataweza kulipa hili deni.
Leo hii deni la taifa limefikia tril 114 .
Hizo pesa zinazokopwa zinafanya miradi gani?
Hatuoni miradi yoyote mikubww ya kimkakati ikifanyika hapa nchini.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, akiwasilisha Bajeti Kuu ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2026/27 bungeni leo, ameeleza kuwa hali ya deni la serikali hadi kufikia mwezi Machi 2026 imefikia shilingi trilioni 114.34.
Katika kiasi hicho cha deni, Mhe. Balozi Khamis amebainisha kuwa deni...
"Kuna tuhuma ya wizi wa kutisha kwenye mikopo ya serikali ambapo kwa miaka mitano iliyopita deni la serikali limeongezeka kutoka trilioni 60.7 Machi 2022 hadi trilioni 115.2 Februari 2026, sawa na ongezeko la trilioni 54.3. Deni limeongezeka kutoka ukuaji wa wa asilimia 7 hadi ukuaji wa asilimia...
Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), CPA Charles E. Kichere ya Mwaka 2024/2025 iliyosomwa leo Machi 30, 2026, Ikulu Dar es Salaam imeonesha kuwa Deni la Serikali hadi Juni 30, 2025 lilikuwa ni Tsh. Trilioni 110.05 ambapo ndani yam waka mmoja limeongezeka kwa Tsh...
Niwakumbushe tu , Deni la Serikali la Tanzania limefikia takribani TSh 107.7 trilioni, sawa na 32–35% ya GDP kiwango ambacho bado kinachukuliwa kuwa himilivu kimataifa endapo ukuaji wa uchumi utaendelea kuwa thabiti. Ukuwaji wa uchumi unaendana na utulivu wa kisiasa.
Hata hivyo, kukosekana kwa...
Wakati Rais Samia Suluhu anaingia madarakani Wajasiliamali waliopewa mikopo binafsi (Personal loans ),thamani ya mikopo hiyo ilifikia jumla ya TZS 7Trilioni miaka minne baadae mikopo hii imefikia jumla ya TZS 14Trilioni sawa na ongezeko la TZS7Trilioni au 200% pia ni ongezeko la mara mbili...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wananchi kutopata hofu kuhusu deni la Taifa pale linapotangazwa, kwani deni hilo lina sehemu kubwa inayoenda kwenye upande wa kampuni binafsi na wala si Serikali inayotakiwa kulipa.
Dkt. Nchemba amesema hayo bungeni jijini Dodoma wakati...
"Athari za ukubwa wa deni la Serikali linaangukia kwenye mabega ya wananchi wanyonge. Wananchi wanaongezewa kodi, ushuru na makato katika huduma muhimu kama vile umeme, elimu, afya, maji na kodi kwenye mazao ya kilimo ili kulipa madeni haya.
Mathalani mwaka huu 2024/25 Serikali imepanga...
Waziri anatumia hadi mfano wa deni la songesha ili kuelezea deni la serikali, hahah patam hapo.
"Acha nianzie na songesha mana mimi huwa nasongesha, nini maana ya kukopa? Kukopa ni pale ambapo una matumizi ambayo ni makubwa ama ni ya ghafla kutokana na kipato chako, kwahiyo unaamua kusongesha...
Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema Serikali zake hazitohofia wala kuacha kukopa kwenye Taasisi za Kimataifa za Fedha na Benki ya Dunia kwa minajili ya kutekeleza shughuli za miradi na ujenzi wa miundombinu .
Pia chama hicho kimeahidi kitasimamia ahadi na sera za msingi kwa kumaliza changamoto...
Miradi yote inajengwa kwa fedha ya rais samia. Kila fedha ni ya Rais samia.
Tuwe na consistence, Like wise, na deni mikopo ya tanzania la liwe ni deni la Rais samia!
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) ameeleza kuwa hadi kufikia tarehe 30 Juni 2024, deni la serikali lilifikia shilingi trilioni 97.35. Hii ni ongezeko kutoka trilioni 82.25 lililoripotiwa katika mwaka wa fedha wa 2022/23, ikiwa ni tofauti ya trilioni 15.1 sawa na ongezeko la...
Wakuu,
Ifikie muda tuache ku-judge wanasiasa kwa kutujengea vyoo na mabarabara.
Unakuta mwanasiasa anaenda kukopa World Bank na IMF alafu anaenda kujenga shule na zahanati
Kibaya zaidi anaenda kukopa hela ambayo mpaka anamaliza muda wake wa uonogozi hawezi kuilipa.
Hivi kuna kitu rahisi...
Wakuu,
Kamati ya Bunge ya Bajeti imesema hadi kufikia Juni, 2024 deni la Serikali lilikuwa Sh.Trilioni 96.8 sawa na ongezeko la asilimia 18.18 ikilinganishwa na Sh.Trilioni 81.9 katika kipindi kama hicho mwaka 2023.
Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Oran Njeza ameyasema hayo leo bungeni alipokuwa...
Sawa na Ongezeko la Trillion 32.4 .
"katika mwaka 2020/2021 mashauri ya malimbikizo ya kodi za makinikia yaliamuliwa katika mahakama za rufani za kodi yenye thamani ya shilingi Trilioni 5.595 na mahakama kuagiza kufanyika mazungumzo kati ya Serikali na walipa kodi ambayo ni North Mara gold...
Kwa mujibu wa ripoti za Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Wizara ya Fedha, hadi kufikia Septemba 2024, zinaonesha Deni la Serikali lilifikia Tsh. Trilioni 98.5 ambapo kwa kipindi cha miaka 9 Deni hilo limeongezeka kwa Tsh. Trilioni 64.2.
Ili Tanzania iondokane na Deni hilo, itachukua miaka 11...
Waziri wa Mipango na Uwekezaji, Prof. Kitila Mkumbo amesema hadi kufikia mwezi June mwaka huu 2024, deni la Serikali liliongezeka na kuwa Tsh. bilioni 96,884.18 (Tsh. trilioni 96.8) ambapo Kati ya kiasi hicho, deni la ndani lilikuwa shilingi bilioni 31,951.24 na deni la nje lilikuwa shilingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.