Mwigulu aendelea kufunika Igunga

Mwigulu aendelea kufunika Igunga

no comment
coz wasukuma siku
zote ukiwapelekea malori
ni rahisi kujaza ata uwanja wa
taifa wote........

~tatizo je wanakuelewa unachosema?
~je watakukumbuka tena
~je ukiwaangalia wanakazi mbadala yakutokuepo hapo( shamba basi)
~je mtu wanaye msikiliza ni mstrabu wakueleza hoja za chama chake kama tu ata majukumu ya cheo chake hafanyi?
~ n.k

inauma sana mali ya umma kutumika
vibaya wakati operation line ya lumumba njaa teleeeeeeee

V
SENGEREMA...
 
Fredrik Sanga niamini mimi hapa Igunga jamaa kaendelea kushusha hadhi yake na ccm mno! najaribu kuongea na wazee vijiweni wanaonesha kukerwa sana na namna wana-ccm wanavyowaona wana-igunga kama watu wasio na uelewa, wasio na habari. Mwigulu kupanda jukwaani na kutangaza kuwa jeshi limeapa kuilinda ccm daima ni ujinga, na wananchi wamechukia Well, tuombe uzima tukingoja duru nyingine ya uchaguzi.
Sasa hii picha wameipata wapi?
 
When will M4C go to Singida (Nchemba's constituency ???) I will personnally (sp) contribute for fuel and other related costs including allowances etc
 
Ccm fanyeni mikutano yenu yoote, mjaze watu hadi wakose pa kusimama(kwa malori) ila mtambue Igunga hamna chenu!!!

Nina imani ukweli wa ninachokisema hata nyinyi pia mwakijua!!

Wana Igunga shikamaneni ccm inarudi kuwaueni tena!!
 
Sasa hii picha wameipata wapi?

Sanga....hawa jamaa wana mahaba ya ajabu sana. wako tayari BLUE kuita RED wanakimbia kivuli chao wenyewe. Ni kama watoto wadogo anafumba macho anadhani kajificha..........mahaba ya kupitiliza
 
attachment.php
 
Hiyo picha niyalini na ni eneo gani la Wilaya ya Igunga,maana mie niko hapa sijaona

unajua kuukimbia ukweli ni mbaya sana.......ni heri ukubaliane na ukweli ujue namna ya kuukabili kuliko kujidanganya
 
Magamba matupu hayo, ujue hapo yamekamata karibu watu wa wilaya nzima kwa mafuso
 
Mkuu acha propaganda za ccm. hiyo picha ya mwaka gani na wapi? mia.
 
Frema 120, kama nimekuelewa vema unamaana wasukuma ni watu wakubebwabebwa tu! kama ndivyo pole sana! akili hiyo yako walikuwa nayo, na bdo wanayo akina mwigulu! Ogopa sana mtu anayetumia muda mwingi kukusoma, akija kukuelewa ndg utajuta, wasukuma na wana-igunga wamedanganywa vya kutosha, baada ya elimu ya uraia kuwaingia na kujua ukweli....ogopa!
 
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje
Ndugu mleta mada unapoonyesha picha tu na kusema mwigulu kafunika bado haujaeleweka tunaomba tupatie maelezo angalau kwa ufupi aliyoongea Mwigulu ambayo yataendana na heading yako sio kuleta ushabiki tu, mkutano kuwa na watu wengi usifikiri ndo mafanikio unaweza kukusanya watu wengi na mwisho wa mkutano wote wakakudharau kutokana na kauli zako kwa hiyo ikawa sio umefunika bali umefunuka, tumeshuhudia hata kwenye misiba ya Majambazi watu huwa wengi sana usifikiri wamefika kwa hudhuni ya kufa kwa huyo jambazi bali hufika kwa ajili ya kuhakikisha kweli jamaa kafa? kwa hiyo hata hao unowaona wanahudhuria mikutano ya CCM ni kuhakikisha kama kweli CCM imekufa na hii inadhibitika kutokana na maneno yanayotolewa katika mikutano hiyo. nafikiri umenipata Koffie
 
no comment
coz wasukuma siku
zote ukiwapelekea malori
ni rahisi kujaza ata uwanja wa
taifa wote........

~tatizo je wanakuelewa unachosema?
~je watakukumbuka tena
~je ukiwaangalia wanakazi mbadala yakutokuepo hapo( shamba basi)
~je mtu wanaye msikiliza ni mstrabu wakueleza hoja za chama chake kama tu ata majukumu ya cheo chake hafanyi?
~ n.k

inauma sana mali ya umma kutumika
vibaya wakati operation line ya lumumba njaa teleeeeeeee

V
SENGEREMA

Wasukuma ni watu na akili zao. Wale ni wanyamwezi
 
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje

Yaani wamerundikwa kwenye kijimtaa chembamba ili waonekane ni umati mkubwa??

Kweli sasa nimeamini ule usemi wa "CCM wanajitekenya wenyewe halafu wanacheka wenyewe"!
 
Mtoa mada, tunao ishi igunga tunajuwa ukweli. Aache uwongo
 
CCM. .......CCM.......CCM. HAYO NDIO MANENO. WAMEONESHA FURAHA YAO.....Kumbe kweli majimbo mengine ni ya CCM tu hata iweje

Kumbe CCM wanaweza 'kufunika' namna hiyo !!

  • Sasa kwa nini huwa wanalazimika kutumia polisi kuzuia mikutano ya Chadema ??
  • Si wangeiachia tu mikutano hiyo ya Chadema??
  • Mbona wanalazikima mpaka kuua watu wasio na hatia ili kuzuia mikutano ya Chadema ??
  • Mbona huwa wanalazimika kuiba kura wakati wa uchaguzi ??

Hivi kweli 'wanafunika' hivyo au ...??
 
Back
Top Bottom