Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

mwigamba ni mwanasiasa mwamba ambaye anainyima raha na usingizi ameweka wazi kuwa dr slaa kwa sasa anafanya siasa za kupelekwa pelekwa tu.

Mpeni uenyekiti CCM then agombee urais 2015
 

Acha kujisumbua!
 
Hizi ni kauli za mfa maji.Ngoja tusubiri kwani wakati ukuta.
 
Mwacheni aruke ruke kama maharage chunguni! kwisha habari yake huyo kalumekenge.
 
Huyu msaliti MM3 nimezikuta habari zake huko home MAGU,Alituma mil 1.6 kwa lengo la kuvuruga na kuandaa mazingira ya kuweka mtandao wao wa usaliti kwa kuwatumia ZENA ambaye ni diwani viti maalumu,BAHATI ambaye ni kiongozi wa BAVICHA,BUBESHI ambaye ni kada tu, CHACHA ambaye ndiye katibu wa CDM wilaya.Makamanda walishitukia hujuma hizo na kuzizima mara moja na ikumbukwe kuwa ndiko nyumbani kwao na huyo mamluki.waliokaribu naye wamtonye na kama si kweli basi ajitokeze akane!
 
Acha majungu subiri hukumu ya Mwisho dhidi yako.Wewe hukuwa na hadhi ya kuwa mwenyekiti wa mkoa Kama Arusha.ULiletwa letwa tu leo unapepeta.ULichaguliwa na nani Wewe kuwa m/kiti ishia Hugo huko.Unawivu na LEma Wewe.LEma alithubutu Wewe ukabaki na laptop kupiga ombea .HAkunaga chama Keene laptop chama ni kuwafikia watu Arusha ninCHadema Arusha ni LEma
 
Mpeni uenyekiti CCM then agombee urais 2015

Ni kweli nimekubali ukitaka kuiba sehemu kuna mbwa nenda na nyama! Hii desturi ya kila kitu ni kusingizia CCM hakika CDM itajizika,coz saiv hawana hoja zaidi ya mipasho!
 

Kuna siku yaja ukweli wote utajulikana!
 

Baada ya mwigamba nani.......? na baada ya Kitila mkumbo nani.....?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…