Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Sasa akimgeukia Dk Slaa nani atagombea urais na Zitto wamemtimua!

Nasema hivyo kwa sbb najua kabisa kwamba atakapofunguka kumhusu Slaa itakuwa kiama!!

Mbowe hawezi kumtimua Slaa, yeye mwenyewe bila Slaa si chochote!
 
Dr.Slaa sio kipimo cha chama chakavu!! Magamba,Dr.Slaa anawasumbua sana,ccm kuondoka madarakani ni kusudi la Mungu na kikwete kuwa rais kwa awamu ya nne ni mpango wa Mungu!
 
Nakumbuka mwigamba ndiye aliyekuwa kinara na mstari wa mbele kuwatimua madiwani watano wa chadema arusha,sasa hatimaye dhambi hiyo inamtafuna na haitamwacha yeye tu ngoja tutaona mengi,kwani mwosha uoshwa
 
Pure Scrap!
 
Slaa ni mkristo na anafiti katika mfumo wao wanaoutaka katika chama kwahiyo kamwe hatofukuzwa ila atashushwa tu makali yake.
 
Mkuu, Dr Slaa hana tofauti na wapangaji wa NHC ambao baada ya kukaa muda mrefu, wakajiona kuwa wao ndo wenye nyumba na wakaanza kupangisha nyumba hizo. Ndivyo anavyofanya Dr Slaa sasa
Ahaa, kumbe ndo maana wakaamua kumtoa kwenye ubungee
 
Padri akifukuzwa kanisa litaendeshwa na nani?
 
Huyu jamaa anaandamwa na roho ya kukataliwa,watu wanaomfahamu vizuri hadi kwao wanajua hili.Hii ni kuweweseka tu kwa kupoteza mwelekeo.Mwi!Gamba kweli huyu

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Slaa ni mkristo na anafiti katika mfumo wao wanaoutaka katika chama kwahiyo kamwe hatofukuzwa ila atashushwa tu makali yake.

Hivi wewe ni binadamu kamili kweli?ama umezaliwa kwa nguvu ya hirizi?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
njaa ni kitu cha ajabu sana ! Unajua siku za nyuma haikuwa ajabu kwa mwanamke kupata mimba , kisa CHIPS KAVU !
 
mwigamba ni nomaa,,chadema haifurukuti kwa mwigamba,,hapo bado hajajibiwa barua yake kutoka kwa msajiri wa vyama vya siasa,,kwanini mwenyekiti anabaka katiba ya chama,,,itafahamika tu,,nani ni nani,,wamemwaga mboga mwigamba anamwaga ugali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…