Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Utaratibu ule ule, watu wale wale magazeti yale mleta thread yule kutoka mahali pale pale kwa lengo lile lile kwa wadhamini wale wale na mafanikio yale yale ya kutwanga kinu cha maji.
 
Si bure jamaa kadata, inatakiwa apumzike kutuliza akili kipindi hiki cha mapumziko ya X-MAS na Mwaka Mpya!!
 
Siamimi kwa sababu nakumbuka Mbowe alipogombea urais, aligombea tuu ili kujifurahisha na kuvuta ule mkwanja wa King maker!. Dr Alipogombea aligombea kiukweli kweli na 2015 japo naujua msimamo wake, sitaki kuamini kuwa Mbowe anataka kujaribu tena mchezo ule ule huku anaelewa fika stutus ya makabila fulani fulani na urais urais wa JMT unless ile siri ya partenity iwekwe wazi ili achagulike! vinginevyo ni kujifurahisha tena!. As of now Chadema haina mtu wa 2015 ila msijekushangaa yule yule jamaa yangu ndio mgombea wao!. Hili mbona lilikuwa simple tuu kwa kumweleza Zitto all the plans ili asiwatibulie na sio kumzushia hadi kumfukuza!.

Pasco
 
mwigamba ni mwanasiasa mwamba ambaye anainyima raha na usingizi ameweka wazi kuwa dr slaa kwa sasa anafanya siasa za kupelekwa pelekwa tu.

Umesema kweli Mkuu,na atakapokuja hapa Mwigamba najua ataanza na suala Lile la Ben kuisemea chadema!

Atakuja na suala la Josephine kuonekana sana kuwa sehemu ya uongozi!

Lakini pia atakuja na suala la Dk Slaa ku................,................!!!!!!!!!!!
 
Siamimi kwa sababu nakumbuka Mbowe alipogombea urais, aligombea tuu ili kujifurahisha na kuvuta ule mkwanja wa King maker!. Dr Alipogombea aligombea kiukweli kweli na 2015 japo naujua msimamo wake, sitaki kuamini kuwa Mbowe anataka kujaribu tena mchezo ule ule huku anaelewa fika stutus ya makabila fulani fulani na urais urais wa JMT unless ile siri ya partenity iwekwe wazi ili achagulike! vinginevyo ni kujifurahisha tena!. As of now Chadema haina mtu wa 2015 ila msijekushangaa yule yule jamaa yangu ndio mgombea wao!. Hili mbona lilikuwa simple tuu kwa kumweleza Zitto all the plans ili asiwatibulie na sio kumzushia hadi kumfukuza!.

Pasco
Kumbuka chama hivi sasa kimeimarika so kila mtu anayeona anaweza kuongoza nchi anatamani afanikiwe kuingia ikulu. siku zote malengo na mafanikio ya mwanasiasa ni kufika kwenye nafasi ya juu kabisa ya kisiasa ambayo ndio urais.. jiulize kwanini kina lowassa wanautaka urais,kina sumaye, slaa, na wengine wengi.
 
mwigamba2.jpg
 
Siamimi kwa sababu nakumbuka Mbowe alipogombea urais, aligombea tuu ili kujifurahisha na kuvuta ule mkwanja wa King maker!. Dr Alipogombea aligombea kiukweli kweli na 2015 japo naujua msimamo wake, sitaki kuamini kuwa Mbowe anataka kujaribu tena mchezo ule ule huku anaelewa fika stutus ya makabila fulani fulani na urais urais wa JMT unless ile siri ya partenity iwekwe wazi ili achagulike! vinginevyo ni kujifurahisha tena!. As of now Chadema haina mtu wa 2015 ila msijekushangaa yule yule jamaa yangu ndio mgombea wao!. Hili mbona lilikuwa simple tuu kwa kumweleza Zitto all the plans ili asiwatibulie na sio kumzushia hadi kumfukuza!.

Pasco
Hadithi za hekaya.
 
Mwigamba safari hii kahongwa shillingi ngapi kupayuka haya anayosema? Hapo nyuma nilikuwa nasoma makala zake nikidhani ni mtu muadilifu kumbe ni chui kwenye ngozi ya Simba! Sioni tofauti yake na akina Kaborou na Tambwe Hizza. He is a bad loser!!
 
hawa jamaa watatifuana mpaka basi wakati tuliousubiri ndiyo huu chama cha kilaghai tulijua mwisho wake ni mbaya slaa ajipange zamu yake yaja.

Naona w.e.h.u mnazidi kuongezeka mjini! CDM IMEWAEHUSHA.mwigamba kwisha habari yake anaweweseka tu huku akikata roho,Mizigo itulie tu dawa ya ukombozi iwaingie.
 
Kwa maneno ya Mwigamba naanza kuamini kuwa hawa jamaa walikuwa wakitumiwa na CCM
 
Siamimi kwa sababu nakumbuka Mbowe alipogombea urais, aligombea tuu ili kujifurahisha na kuvuta ule mkwanja wa King maker!. Dr Alipogombea aligombea kiukweli kweli na 2015 japo naujua msimamo wake, sitaki kuamini kuwa Mbowe anataka kujaribu tena mchezo ule ule huku anaelewa fika stutus ya makabila fulani fulani na urais urais wa JMT unless ile siri ya partenity iwekwe wazi ili achagulike! vinginevyo ni kujifurahisha tena!. As of now Chadema haina mtu wa 2015 ila msijekushangaa yule yule jamaa yangu ndio mgombea wao!. Hili mbona lilikuwa simple tuu kwa kumweleza Zitto all the plans ili asiwatibulie na sio kumzushia hadi kumfukuza!.

Pasco

Mkuu Pasco umenena kweli tupu.

Nyongeza yake hata ile habari ya kumfukuza zitto imekwama tna kutokana na picha iliyojionesha katika kipindi cha siku 14 tu zilizopita.
 
Mwigamba anahangaika baada ya mission yao kukwama,

amejuaje Zitto atafukuzwa si walisema Chadema haiwezi na inaogopa kuwafukuza.
 
Mwigamaba anahitaji ushauri wa ki-saikolojia.
Kama ana ndugu au marafiki huku JF tafadhali msaidieni.
 
Back
Top Bottom