Mwigamba: Baada ya Zitto ni Dr. Slaa

Mtifuano utakua zaidi 2015 hapo ndipo chama kitakaposambaratika kabisa

Imekuwaje tena 2015 badala ya CDM kufa 2013? Mlidhani CDM ni nccr? mtaweweseka sana huku chama cha mizigo kikiwafia.WANANCHI BADO WANAYASUBIRI MAISHA BORA MLIYOWAAHIDI NA SIKU NAZO ZINAYOYOMA,OCT 2014 SIO MBALI!
 
Mtifuano utakua zaidi 2015 hapo ndipo chama kitakaposambaratika kabisa

Magamba inatakiwa mupelekwe kwa TB Joshua mukafanyiwe maombi ili pepo wachafu waliojaa vichwani mwenu wawatoke.Ni CHADEMA gani ambayo unasema ifikapo mwaka 2015 itasambaratika kabisa?mbona mumesha sema kuwa CHADEMA haitafika mwaka 2015 itakuwa imesha kufa?au kuna CHADEMA nyingine zaidi ya hii.
 
ukiwa mfuasi wa chakavu hata akili inachakaa
 
Mkuu, hawa CDM nadhani bora wangeachana kabisa na siasa ili wawe kundi la waigizaji washindane na akina Masanja Mkandamizaj au akina Bambo

hakika au bora wageuzi chama kiwe kwaya
 
siku zake zinahesabika, ngoja la zitto likamilike

MASALIA KWISHA HABARI YAO,DR.SLAA ni Rais mtarajiwa wa JMT upende usipende! tutawapumuzisha mizigo yenu hapo oct.2015 jiandaeni tu kisaikolojia.
 
Daaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!ama kweli mfa maji haachi kutapatapa
 
Mfa maji bwana haachi kutapa mwigaba hao watu wawili slaa na mbowe ndio dira ya chama na slaa kakwepa mikuki mingi haiwezi tokea kitu ya kipuuzi kama hiyo umelikoroga lako ulinywe mwenyewe.
 
Kabla hamjaanza kumshambulia Mwigamba jiulizeni hivi M2 ameshapatikana?Isijekuwa kuwa M2 anayezungumziwa na kina Tundu Lissu ndio Dr Slaa?...I am just connecting the dots here.Huenda hawataki kuitumia njia ile waliyoitumia kwa akina Zitto kwa kuhofia mipango yao kubuma,Nahisi njia watakayoitumia kwa Dr Slaa itafanana na ile iliyotumika kwa yule Rasta wa Mara.Afterall kitambo tu tumeshajua kuwa Billicanas Boy yupo katika pay-roll ya Mzee wa Monduli anayeusaka Urais kwa udi na uvumba.
 
Mm1,mm2 na mm3 hivi mm3 ni nani tena? Alitajwa kuwa yupo makao makuu siyo dr. Kweli?
 
Maskini Mwigamba anasema chochote ili mradi asisahaulike kwenye vyombo vya habari'
pole yake ndo tumeshamsahau tayari
 

Alipofukuzwa na kuvuliwa uanachama ndugu Himid wa Zanzibar wala hamkusema wala hamkumtetea namna hiyo?Nadhani mipango yenu imekwama na ndio maana mnalia sana juu ya Zitto.Kama Zitto ni kifaa kwanini nyie kina Pasco Msimchukue na kumpa uenyekiti kwenye chama chenu?Lazima iwe Chadema?Mbona ni furaha sana hiyo kwenu kumpata Jembe?Kwanini Uenyekiti uwe kwa Chadema tu?
 
Mkuu, Dr Slaa uwezo alionao ni wa kupora wake za watu tu. mengine hayajui

Wewe mbona maisha ya wakazi wengi wa hapo Lizaboni ni choka mbaya na wewe upo tu hutaki kushughulika nao uwakomboe?Pale kijiwe cha Petrol Station Lizaboni wanamama wanauza maandazi tangu asubuhi hadi jioni, na wewe huoni tatizo kwa nini?
 
Hizi ni dalili tosha za mtu kuwa mwendawazimu.. Poor Mwi-GAMBA
 
siasa za maji taka hao kama wanajiona vinara kwanini wasianzishe chama chao?mpira wa miguu una taratibu zake na sheria zake hata ZIZOU alishawahi pewa kadi nyekundu kwa kukiuka sheria za mpira kwani ZZK ni nani mpaka aachwe tu acheze rafu?ccm tatueni migogoro ya ardhi mliyo asisi sio mnaimba ngonjera na chama chenu cha mizigo
 
mwigamba ni mhaini,anazidi kufanya kazi ya kamati kuu nyepesi,bora mwenzao kitila aliyeamua kukaa kimya.
Aaaaaaghhhhhh ndio najiamkia zangu nakutana na hii habari,hivi ya Kitila na UDSM imeishia wapi au walishajiridhisha kuwa hakuwa kiongozi wa chama? kama alivyodai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…