Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,625
- 38,751
Kila la kheri kiongoziKwasasa nahamia kwa mumu rasmi.
[emoji36] [emoji36] [emoji36]Kila la kheri kiongozi
[HASHTAG]#Mwifwa[/HASHTAG].
Haumwi.. . Aliumizwa kwenye fumanizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shemeji kumbe unaumwa?!?
Macho hayana pazia mjukuuDuuh! Hii kali.
Alaaa kumbeeHaumwi.. . Aliumizwa kwenye fumanizi
Nakuuliza hivi utanipenda nikiamua kukupenda? Tamka watu wote wasikie wasije wakaingilia kati mapenzi yetu.Alaaa kumbee
Tamaa ya fisi kujikuta anadondokea mifupa mikavu[emoji23]Tatizo Mwifwa jicho lake nalo bhana... khaa! Sijaona cha kugeuzia shingo pale. Tamaa ya fisi tu
Hahaaaa. Wacha weee.[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hiyo pia ni sehemu ya tiba.
Hahaaa. Hata na mie nimeona babu. Kweli hayana pazia aiseeMacho hayana pazia mjukuu
Hhaaaa....mm ubavu wa mtu jomonii[emoji28][emoji28]Nakuuliza hivi utanipenda nikiamua kukupenda? Tamka watu wote wasikie wasije wakaingilia kati mapenzi yetu.
Ahaaa! Kumbe ndo yule niliemuona kwenye dp et.Hhaaaa....mm ubavu wa mtu jomonii[emoji28][emoji28]
Eee ile dp ya kuleeAhaaa! Kumbe ndo yule niliemuona kwenye dp et.
Sasa ungepiga wewe na chura wako kijana si angevunjika mguu wa pili?Tamaa ya fisi kujikuta anadondokea mifupa mikavu[emoji23]
Hakafu mwisho wa siku ukaweka kiatu sijui kilimaanisha nini.Eee ile dp ya kulee