Nilikuwa naangalia tu jamaa wanavyokushauri naona kama wanakupotezea ,sasa chukua ushauri nasaha ,nenda rudi kwake kwa mbio zaidi ya hizo za mwanzo ukimkaribia jifanye kama unajikwaa na kukaribia kuanguka ,halafu mueleze shida yako, kama vile ulivyosema mwanzo...Dada nazidi kukupenda kila miezi inavyozidi kupungua kulikaribia pendo letu....Unaona eei ,si kawaida yake kukwambia bado nakufiria akimaliza tu ,kusema hivyo anza kulia ,tena ulie kwa sauti ,au hujui kulia wewe ? Unalia kwelikweli basi jioni haifiki utamuona huyu kakuzukia ,hapo usiingie kichwa kichwa anaza na wewe kwenda mbio utaona ni jinsi gani na yeye anakufukuzia sijui inaweza kupita mida gani ila ujue mambo yeshaiva. Kwa nini nikakwambia ukimbie inawezekana kabisa keshakuchuna sana na hela huna !
hakuzingua....siku hio hio nimetupia neno kakubali.
hajanichuna mkuu zaidi ya miatano niliyomnunulia maji
Duh... Bado sana mkuu, kuna mtu kafukuzia huu mwaka wa 3 sasa ila hajakata tamaa mpaka namuonea huruma. Ngoja siku moja nije nivae miwani ya mbao nimpe....
Ushawahi kupenda kweli??
Umpe nini #chamingladyDuh... Bado sana mkuu, kuna mtu kafukuzia huu mwaka wa 3 sasa ila hajakata tamaa mpaka namuonea huruma. Ngoja siku moja nije nivae miwani ya mbao nimpe....
Nina Kazi za kufanya;wanawake wengine wapo Ila nampenda sana yy
habar wana MUM. kuna binti nimetokea kumpenda sana"Ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mm'mwezi wa saba sasa umetimia tang nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba"tena yy mvulana akiingiia kwa gia y mkwanja hata Namba yke inablokiwa"Mimi kila sku huniambia kuw anifikilia; nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni; Naomb ushaur wako tafadhali.
Impossible, kupenda sio hivi, out of millions umemuona mmoja tu?? Don't be myopic.
Hahaha ha haa jamaa ndo yuko ivo?
Hio ndo definition ya kupenda..out of millions umemuona mmoja....,mim naona unachanganya kupenda na kuwa na mtu wakati huo...naona kama watu humu mmebase kwenye just being with someone na sio love but ukweli ni love is timeless hata wakikaa miaka sita wanafukuzana if it's love then it is love....lakin kama sio love ndo hicho unachosema wewe hakuna haja ya kumbembeleza for that long you simply switch to another girl