Milale
JF-Expert Member
- Aug 29, 2013
- 494
- 189
Habari wana MMU.
Kuna binti nimetokea kumpenda sana ila tatizo ni kwamba hataki kukubali ombi langu la kuwa na mpenzi wangu.
Mwezi wa saba sasa umetimia tangu nianze kumfuatilia, na kuna wavulana wa kila aina wanamfuatilia ila wanagonga mwamba, tena yeye mvulana akiingiia kwa gia ya mkwanja hata namba yke inablokiwa.
Mimi kila sku huniambia kuwa ananifikiria, nifanyeje wadau maana binti nampenda kutoka moyoni.
Naomb ushauri wako tafadhali.