Mwezi wa RAMADHANI ndio umefika ila please tuvumiliane

Nimekuelewa vyema, sasa nijibu na hili
Sidhani kama una uhakika na hiki unachoongea, kumkwaza mtu sio kwenye kufunga tu, bali hata kuanzisha biashara ya vinywaji (bar) kwenye eneo lililozungukwa na Waislam pia ni kukwazana....
Hata hiyo ya Zanzibar ni uonevu. Au basi iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi hutaona wakienda kufanya hivyo. Mtu kuanzisha bar kuna taratibu anapitia na kibali anapewa.

Kwanini asinyimwe kibali? Aambiwe kuwa huku Zanzibar bar haziruhusiwi. Unadhani atalazimisha? Kwahiyo wewe ukiona pombe udenda unakutoka? Pombe ni Haram according to you..how come utamani kuinywa? Ni wakati wa ramadhan tu ndo mkataze? Kwanini isiwe siku zote?

Au ndo kama kawaida matendo mema tufanye wakati wa ramadhan, ikiisha tuendelee na dhambi kama kawa?
Mna sheria za kushangaza
 
Hata hiyo ya Zanzibar ni uonevu. Au basi iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi hutaona wakienda kufanya hivyo. Mtu kuanzisha bar kuna taratibu anapitia na kibali anapewa...
Inabidi tuvumiliane tu hamna namna
 
Then hii kauli ya kusema kuwa mwezi wa Ramadhan hata vibaka mitaani wanapungua na wauza kitimoto wanakosa wateja kwa sababu walaji wengi wa kitimoto na vibaka ni waislam Sio kweli. Tusipende kuzua mambo ambayo hayapo na kuyapa sababu zisizo na uhusiano.
Kwanza wizi hauna dini.

Pili Imani haiangalii upande mmoja tu, na killa mtu ana imani ya kweli anayoamini na pia ana imani kwa upande wa imani nyingine, hapa naomba nieleweke vizuri:

Unaweza ukawa Muislam kwa imani yako thabit lakini pia kwa imani nyingine ukakubaliana japo sio sana na baadhi ya imani kwenye Ukristo, mfano Wamekujia wachangishaji na wanahitaji mchango kwa ajili ya ujenzi wa Kanisa, unaweza kuchangia kwa imani kwamba kinachokwenda kujengwa ni nyumba kuliko kumpa mtu hela hiyo ili akanywe pombe.

Na pia unaweza kuwa Mkristo kwa imani yako thabit lakini pia kwa imani nyingine ukakubaliana japo sio sana na baadhi ya imani kwenye Uislam, mfano pia Wamekujia wachangishaji na wanahitaji mchango kwa ajili ya ujenzi wa madrasa au Mskiti, unaweza kuchangia kwa imani kwamba kinachokwenda kujengwa ni nyumba ya ibada kuliko kumpa mtu hela hiyo ili akanywe pombe.(Natumai nimeeleweka sasa.)

Na hii ina apply kwa watu wengi hata vibaka, wachinjaji/wauzaji kitimoto, wauza vinywaji pia na hata wafanya biashara haramu. Wanakuwa na imani kwamba wenzetu wapo kwenye mfungo hivyo sio vizuri kufanya vile ambavyo havipendezi kwenye kipindi hiki.
 
Kwa muktadha huu then kila mtu afanye yale imani yake inamuagiza bila kumuathiri mtu mwingine
 
Hata hiyo ya Zanzibar ni uonevu. Au basi iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi hutaona wakienda kufanya hivyo. Mtu kuanzisha bar kuna taratibu anapitia na kibali anapewa.
Kwanini asinyimwe kibali? Aambiwe kuwa huku Zanzibar bar haziruhusiwi. Unadhani atalazimisha?
Kwahiyo wewe ukiona pombe udenda unakutoka? Pombe ni Haram according to you..how come utamani kuinywa?
Ni wakati wa ramadhan tu ndo mkataze? Kwanini isiwe siku zote?

Au ndo kama kawaida matendo mema tufanye wakati wa ramadhan, ikiisha tuendelee na dhambi kama kawa?
Mna sheria za kushangaza
Demi nashindwa kukuelewa kwasababu unajicontradict mwenyewe kwa mwenyewe, juu umesema iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi baadaye tena wewe mwenyewe unakuja na conclusion kuwa Mna sheria za kushangaza. Kwa mantiki hii unakubali wazi kabisa kuwa hizo sheria zipo, kuwa watu hawaruhusiwi kula mchana wa Ramadhani ndani ya Zanzibar?
Anyway kwa kukusaidia tu ni kwamba Mamlaka ndio zinazotoa tamko na sio kila kitu kiwekwe kwenye sheria za msingi.
Na kwa mfano hai tu ni kwamba hata unapozuka ugonjwa basi Mamlaka tu ndio zenye kutangaza na sio sheria za msingi za nchi. (Kitu kama kuvaa barakoa, kutumia sanitizer vilitangazwa na wenye mamlaka, havipo kisheria)
 
Ndugu zetu mnashangaza kidogo... Mada mmeanzisha wenyewe... Mnajiuliza na kujijibu wenyewe.. tusiwapangie cha kumfanya as if kuna mtu amewafata Pm kuwaambia tunaomba msile hadgaran au msipost pic za vyakula... Kwa vyakula gani Kwanza ulimbukeni tu...
 
Demi nashindwa kukuelewa kwasababu unajicontradict mwenyewe kwa mwenyewe, juu umesema iwekwe sheria huko znz kuwa hayo mambo hayaruhusiwi baadaye tena wewe mwenyewe unakuja na conclusion kuwa Mna sheria za kushangaza. Kwa mantiki hii unakubali wazi kabisa kuwa hizo sheria zipo, kuwa watu hawaruhusiwi kula mchana wa Ramadhani ndani ya Zanzibar?
Anyway kwa kukusaidia tu ni kwamba Mamlaka ndio zinazotoa tamko na sio kila kitu kiwekwe kwenye sheria za msingi.
Na kwa mfano hai tu ni kwamba hata unapozuka ugonjwa basi Mamlaka tu ndio zenye kutangaza na sio sheria za msingi za nchi. (Kitu kama kuvaa barakoa, kutumia sanitizer vilitangazwa na wenye mamlaka, havipo kisheria)
Sijajicontradict mkuu.
Niliposema iwekwe sheria nilimaanisha serikali ya znz iweke sheria ya kutoruhusu uuzwaji wa pombe ili kuepuka kutokuelewana kwa wanaoamini pombe ni haram.
Na nilivyosema sheria zenu zinashangaza nilimaanisha ni nyie waislam...pombe ni Haram wakati wa ramadhan pekee, wakati mwingine mnaona sawa.
.
.
Sijui nijiunge na imani yenu..yaani napiga pombe balaa na kufanya uchafu kibao ikifika kipindi cha ramadhan naweka zangu ushungi safi na pombe naipumzisha., Maisha yanaenda murua nikifa straight peponi.
 
Hapana pombe sio haram wakati wa Ramadhan pekee, kwa mujibu wa imani yetu, kila kilichoharamu ni haramu muda wote, na hata ukimkuta mtu ameacha kipindi hiki lakini baada ya kumaliza Ramadhan anaendelea kama kawaida basi ujue anayafanya hayo kwa utashi wake.
Na ndio maana kuna kitu kinaitwa Toba ya kweli (Taubatan nasuuha). Kwa minajili unapoacha dhambi fulani, unaomba msamaha(kutubia) kwa Mola wako baada ya hapo ichukie ile dhambi na usiifanye tena. Lakini pia kwa mujibu wa imani Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kusamehe na anasamehe madhambi yote isipokuwa kumshirikisha tu. Na yeyote atakaefanya madhambi lakini baadae akatubia kabla ya kufa Mwenyezi mungu humsamehe mtu huyo. Lakini pia kama mtu amedumu kwenye maasi kwa kufanya madhambi hadi umauti unamkuta, basi mtu huyo hana msahamaha mbele ya Mola wake.
 
HII DINI NI CHENGA SANA.

WANAABUDU MWEZI, WANAACHA KUMUABUDU ALIYEUMBA MWEZI.

WANAKULA USIKU KUCHA WANAJIDAI WAMEFUNGA.

WANAFELI SANA
Kumbuka unapokashifu wenzio ukikashifiwa nawewe usikasirike tu! Mbona na nyinyi mnaabudu masanamu, mnamuabudu binadamu mwenzenu! Mnaenda kwa binadamu wenzenu kukiri dhambi zenu! Kwahiyo nawao wanakiri na nani!?
Mara Mungu kamili mara binadamu kamili, acha ujuha!! Jiwe likishakuwa jiwe kamili litakuwaje maji kamili? Acheni ujuha.
 
We jamaa bhana yaani nile kitimoto kwa siri?? kwanini kwa mfano kwani si analiwa 98% kwenye BAR sasa hao waislam watakuwa wanafanya nini maeneo hayo wakati pia pombe ni haramu??
Oya jamaa mtaan kwetu chair fire analiwa daile na ananukia kinomaa alaf hakuna paka anaesumbua anaekereka akafunge ramadhan makha
 
Back
Top Bottom