Nazidi kupata mashaka na dini ya ALLAH.Radio Imaan ya Mkoan Morogoro imetangaza kuwa mwezi umeonekana Mtwara. Kuna rafiki yangu yupo Arusha yeye ni answar sunna amenipgia simu kuwa wao kesho wanaswal, mwez umeonekana Malysia. Kwa sisi wa BAKWATA kesho tunamalzia.
Ucjal mi nahic utaonekana uko libya...! Lkn mbona mnaharaka hivyo wanajf? Mmeandaa nini?