Utajiri unatafutwa kwa njia ya giza

Aigle

JF-Expert Member
Jul 4, 2020
711
6,187
Habari humu!

Nimeambiwa miongozo ya kupata UTAJIRI wa giza ni hii ifuatayo

1.Si kila mganga ana uwezo wa kutoa utajiri
2. Kuna mitihani na masharti kabla ya kupewa utajiri. Kila mtu ana mitihani yake na masharti yake
3. Si kila mtu anaweza kupewa utajiri
4. Utajiri wa kishetani ni siri kwahiyo ili kuupata lazima upelekwe na mtu aliyejiunga na utajiri huo au mganga mpaka akujue na akupe mitihani kwanza aone kama unania ili akuunganishe kwenye mfumo wa utajiri.
5. Kwa vile utajiri wa kishetani ni siri hata waganga wanaotoa huo utajiri siyo rahisi kuwapata

Sasa watu wote humu ukiacha walokole na motiveshno speakers, kama unaielewa hii miongozo haswa namba 4 basi tusaidizane connection.
 
Utajiri haupatikani kwa nguvu za giza (kwa ninavyo amimi mimi binafsi). Ila unapatikana (most of them) kwa njia mbaya zinazohusisha dhulma, wizi, kumwaga damu na njia ambazo matajiri wengi hua hawazisemi, njia nyeusi.

Utajiri wa mtu ni siri.

Usitegemee mtu kukwambia ukweli ametajirikaje.

Hata kama ni unamuona anaswali sala 5, au kila jpili yuko siti ya mbele kanisani.
 
Utajiri ni UBAHILI hayo mambo mengine unapoteza MUDA tu
Utajiri ni MSETO wa mambo mengi sana yanayomzunguka binadamu na mfumo wake wote wa maisha yake ya kila siku. Lakini kiini cha Mseto wote huo wa mambo yanayochangia mtu kuwa tajiri au Utajiri ni AKILI NZURI.
AKILI NZURI ndio Chimbuko na Chemchem ya Utajiri na Maisha bora kwa Binadamu Mahali popote pale duniani.
 
Utajiri haupatikani kwa nguvu za giza (kwa ninavyo amimi mimi binafsi). Ila unapatikana (most of them) kwa njia mbaya zinazohusisha dhulma, wizi, kumwaga damu na njia ambazo matajiri wengi hua hawazisemi, njia nyeusi.

Utajiri wa mtu ni siri.

Usitegemee mtu kukwambia ukweli ametajirikaje.

Hata kama ni unamuona anaswali sala 5, au kila jpili yuko siti ya mbele kanisani.
Kuna MTU analipwa mil 100 per month na ni MTZ huyu jamaa ni BAHILI Sana kawekeza TZ biashara zake sasahivi zinaingiza net profit mil 200 per month na hizo ni biashara hujaweka mshahara wake marupu rupu .

Huyu jamaa Ana umri 40 kamili taaluma Yake plus ubahili ndo vimemuweka napo juu sasa sio mwizi wala mchawi kaajiriwa mtoni.
 
Ukweli mtupu, hasa hasa hapo kwenye njia nyeusi
 
Endapo ingekuwa kama kweli utajiri unapatikana kutokana na nguvu za giza, uchawi au ushirikina, basi bara la Afrika lingekuwa linaongoza kwa watu matajiri zaidi hapa duniani. Hata orodha ya "Top Hundreds" ya Watu Matajiri zaidi duniani yote ingetawaliwa na Waafrika.

Utapeli kama utapeli mwingine tu
 
mganga hatoi utajiri kwanza hata yeye utajiri hautaki akiwawa na sababu zake anachofanya mganga ni kukuunganisha wewe (mteja) na majini ambayo ndo yanatoa utajiri lakini pia ili kuepuka complication unaweza kuwasiliana na majini moja kwa moja bila uwepo wa mganga kinachotakiwa ili uingie ufalme wa giza ni damu alafu eleza unachotaka majini yapo mengi kila sehemu yatakuja fasta kukusikiliza na kukupa unachokitaka.
 
Kuna MTU analipwa mil 100 per month na ni MTZ huyu jamaa ni BAHILI Sana kawekeza TZ biashara zake sasahivi zinaingiza net profit mil 200 per month na hizo ni biashara hujaweka mshahara wake marupu rupu .

Huyu jamaa Ana umri 40 kamili taaluma Yake plus ubahili ndo vimemuweka napo juu sasa sio mwizi wala mchawi kaajiriwa mtoni.
Halaf wewe unataka kuwa bahili wa kubania hicho ki milion 1 chako!.
 
Back
Top Bottom