Baraza la Mahakama kuu yasaudia imetanganga kuonekana mwezi na kesho ni sikukuu.
Takabbala Allaahu Minna Waminkum
http://www.fatwa-online.com/ramadhaan-1436-high-judiciary-council-saudi-arabia/
Sisi tunasubiri tutangaziwe na BAKWATA au tuuone kwa macho yetu ndio tu deklee sikukuu.
Hata hivyo usipoonekana leo kuna uwezekano mkubwa sana ukaonekana kesho.
Hilo ni baraza la Saudi Arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa Tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la BAKWATA??
Hilo ni baraza la Saudi Arabia ndiyo limetangaza na linaheshimika kwao!! Kwa nini waislamu wa Tanzania hawafuati wala kitii baraza lao la BAKWATA??
Weraaaaa weraaaaa.....
mi naumia kesho no job,ila nitakuwa hapa kufanya kazi ya chamaWeraaaaa weraaaaa.....
Taarifa itv, mfungo unaendelea, mwezi haujaonekana.