Mwezi mbaya kwa mastaa Flora na Vick Kamata

hivi maana halisi ya ulokole au kuokoka???

ulokole ni neno la mitaani ila kuokoka ni kuponywa kutoka kwenye hali ya kuangamia,mfano mtu anaweza kuokolewa mikononi mwa wabakaji.Hivyo wanadamu wote tumezaliwa katika dhambi na hukumu ya moto wa milele ilikuwa inatusubiri,hivyo Yesu Kristo wa Nazarethi akafa msalabani ili kila atakaye mwamini aokolewe na hukumu hiyo.
 
Nlitaka kumjua huyo 'Frola' ila nashangaa kwenye story hujamuandika

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
christine kweli kuiacha nyumba kwenda kuishi kwingine ni kosa lakini hiyo haimfanyi mwanaume kufanya uzinzi,kitu gani kitatutenga na upendo wa Bwana ni shida,raha hakuna kabisa ni tamaa tu.

"uwe mwaminifu hadi kufa"

Pamoja na yote
Sawa mwanaume nae kakosea bt mke ndo kaharibu kabisa kuondoka

Upendo wa Mungu ungekuwepo wasingekurupuka
Huyo wa kuondoka wala wa kuzini.
Coz maamuzi yenye hekima hutolewa Roho Mtakatifu
 
ulokole ni neno la mitaani ila kuokoka ni kuponywa kutoka kwenye hali ya kuangamia,mfano mtu anaweza kuokolewa mikononi mwa wabakaji.Hivyo wanadamu wote tumezaliwa katika dhambi na hukumu ya moto wa milele ilikuwa inatusubiri,hivyo Yesu Kristo wa Nazarethi akafa msalabani ili kila atakaye mwamini aokolewe na hukumu hiyo.

kwamaana halisi sasa katika ukristo kuokoka maana yake nikuacha dhambi kabisa,je nikweli katika hii dunia ya ukristo kuna walio okoka
 
kwamaana halisi sasa katika ukristo kuokoka maana yake nikuacha dhambi kabisa,je nikweli katika hii dunia ya ukristo kuna walio okoka

Ni kweli mkuu ulivyoeleza hapo juu wapo waliookoka kabisa ndiyo maana Biblia inasema kila aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi yaani kama umejazwa Roho mtakatifu na kumpa nafasi ya kuongoza maisha yako ni rahisi maana kabla ya kufanya jambo baya unasikia hukumu kukuonya usitende,kwa kumtii Roho mt.wengi wameweza kuishi maisha haya na mimi nimeona hivyo na naishi hivyo.
Kama ikitokea kwa mambo mengine mtu hakupambanua vizuri na kumbe ni kosa hapo anapaswa kujitakasa ndiyo maana neno linasema mtakakatifu na azidi kutakaswa.
 
Pamoja na yote
Sawa mwanaume nae kakosea bt mke ndo kaharibu kabisa kuondoka

Upendo wa Mungu ungekuwepo wasingekurupuka
Huyo wa kuondoka wala wa kuzini.
Coz maamuzi yenye hekima hutolewa Roho Mtakatifu

upendo naoongelea mimi ni upendo wa kuacha kumtii Mungu na kutenda dhambi neno linasema hakuna cha kutufanya tutende ubaya kama huu, maana vitendea kazi katupa yaani neema,Roho mt.na neno lake wengine wanawake wanatutamkia waziwazi lakini tunaondoka bila kugeuka...zinaa siyo kitu cha kuchekea hata kidogo hata Yusufu alitimua mbio....
 
kweli mtu kuacha asili yake ni ngumu,this dude alikuwa mchafu wa wanawake,cha pombe b4 hata kumuoa flora,flora akamshawishi aokoke kama kweli anataka kumuoa & thats wat the guy did,kumbe ilikua kiini macho,emmanuel hajaokoka huyo,i dnt get suprise kwa kubaka,ndoa za kulazimisha hizo
 
Alafu nyumba yenyewe ni yake mwenyewe flora du hawa wanaume mariooo wana tabu hata umfukie kwenye shimo atatoa kidole tu.
[/RIGHT]191]Flora kakimbia nyumba?..ndoa hizi balaa sana km sio mvumilivu.
 
kweli mtu kuacha asili yake ni ngumu,this dude alikuwa mchafu wa wanawake,cha pombe b4 hata kumuoa flora,flora akamshawishi aokoke kama kweli anataka kumuoa & thats wat the guy did,kumbe ilikua kiini macho,emmanuel hajaokoka huyo,i dnt get suprise kwa kubaka,ndoa za kulazimisha hizo

Ss nimeelewa somo alilotufundisha mtumishi mwalimu Christopher Mwakasege, kuwa Usimwambie mtu okoka ndio unioe au okoka nikuoe.
Coz atafanya hivyo ili kukufurahisha au kutimiza lengo bt deep inside hajamkubali Mungu.
 
Mhhh mi sitii neno maana hapo angekuwa muchilamu ingekuwa neno humu lkn kichiristo wanakuwa wapoleee
 
exactly,ata pretend kukupata na akishakupata ndio utakapoona true colours zake
 
Possibly flora alianza kuchepuka ulivotokea ugomvi akahamia hotelini na jamaa ndo akili ilivo fupi akarevenge kwa bwashee katika hali ya kawaida emanuel asingeweza kufanya hayo
 
Ss nimeelewa somo alilotufundisha mtumishi mwalimu Christopher Mwakasege, kuwa Usimwambie mtu okoka ndio unioe au okoka nikuoe.
Coz atafanya hivyo ili kukufurahisha au kutimiza lengo bt deep inside hajamkubali Mungu.

Hivi unapookoka,unaokoka nini haswa?
 
Back
Top Bottom