Mwezi mbaya kwa mastaa Flora na Vick Kamata

Ulokole ni janga la taifa. nakumbuka kisa cha power MANGEANA alivyowagegeda walokole Biharamulo, kwa kisingizio cha kuwaombea.
 
Sasa flora nae mbaya kwann akimbie yeye amuache huyo mrembo home siangeenda nae,mume kamwaacha na kiu na pengne mrembo mkali kuliko huyo flora,na hao niwalokole wanajua ni jinsi gani shetani anawainda usiku na mchana,ndio wameshampa nafasi shetani awapiganie.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
Kosa ni la flora mbasha
Ww utakimbiaje nyumba uende hotel?
Km una hasira sn hana chumba au ondoka na familia yako yote.

Ni kweli hatukatai shetani ana deal na walioko kwny mstari.
 
Kwa Mwanamke mcha Mungu kuhama nyumba kwenda kukaa hotelini si maadili. Bola angehama chumba akiwa ndani ya nyumba yake au angeenda kukaa kwa ndugu au family friend kwa muda. Huko hotel tutajuaje alikua anafanywa nini? Na huyu mwanamme mkeo kaondoka nyumbani,unakaa na kisichana peke yenu cha nini? Peleka kwa ndugu kwa muda mpaka mkirekebisha mambo! Chakula angektla pale jirani Tabata Mawenzi bar,na hata hamu ikizidi vidada poa angeokota pale,na wala visingekua na noma kwani ni LKU- Lipia kadri unavyotumia!.Ulokole wa ku act mbaya sana.

Swat umeongea vizuri sana la kuongezea tu ni kwamba kina Mbasha hawakuwa walokole bali walitumia dini kama mlango wa kuendea mafanikio, hata uvaaji na uchezaji wao ulikuwa haumbariki Mungu
 
Hawa mastaa wa bongo wala siyo vioo vya jamii bali ni majanga.
Ajipe moyo. Atayashinda


Ndiyo maana mimi sina staa zaidi ya baba na mama yangu. Hawa mastaa feki haswa hawa waimbaji nyimbo za dini ni wasanii tu, wengi wao sio kama wanaimba for feeling ila wako tu pale kuuza sura na kuganga njaa. Personaly, nyimbo za dini mimi sizipendi kwani naona ni unafiki tu. Unamjali Mungu fuata vitendo vya kiungwana na si kuimba kisha unawauzia watu cd. waimbaji wote wa dini wachunguzwe kwani wako kama kina Mama Rwakatare kwa kufanya vitu vya hajabu chini ya pazia.
 
Asilimia kubwa ya wanaojiita walokole ni wanafiki wakubwa wanaishi maisha ya kufake kila Kitu ni chui Waliovaa vazi la kondoo wana mioyo ya kishetani Mungu yupp anawaona wanajidanganya wao na nafsi zao bora uamue kuwa msafi na si kujitangazia kwa watu kuwa umeokoka kumbe mnafiki tu wewe unayesoma umejielewa???
 
Kosa ni la flora mbasha
Ww utakimbiaje nyumba uende hotel?
Km una hasira sn hana chumba au ondoka na familia yako yote.

Ni kweli hatukatai shetani ana deal na walioko kwny mstari.

christine kweli kuiacha nyumba kwenda kuishi kwingine ni kosa lakini hiyo haimfanyi mwanaume kufanya uzinzi,kitu gani kitatutenga na upendo wa Bwana ni shida,raha hakuna kabisa ni tamaa tu.

"uwe mwaminifu hadi kufa"

 
Huwa sipendi kuhukumu kwa kusikiliza upande mmoja!Nina hakika kuna jambo hapo hatulijui, na hainiingii akilini kabisa mtu kama Emmanuel Mbasha kumbaka binti wa miaka 17!Nasema hivi kwa sababu nina experience na masuala haya, sometimes vinakuwaga visa vya kifamilia kutaka kukomoana na kuharibiana especially kwa mtu maarufu kama huyu. I am sure there is untold story behind this issue!
 
Hawa wazinzi wanaozuga na ulokole ni hatari sana kwenye jamii yetu. Bora uwe zinzi guberi na ujulukane kwa hilo, kuliko kuwa zinzi lokole, siku ya kiama utakuwa kuni.


Inaonekana , mmoja wa wana ndoa alimwaga ugali jamaaa likaja kumwaga mboga kabisaaaaaaaaaaaa.
 
chui alivaa sana ngozi ya kondoo! mungu akaamua kumvua ngozi ya kondoo ili tumjue ni chui! hatimae tabia zake halisi zimejidhihirisha!
 
Back
Top Bottom