Mwezi mbaya kwa mastaa Flora na Vick Kamata

Something is going on,nakuunga mkono,angekua amebakwa angeshtaki since the first time

Huwezi jua ndugu yangu, si unasikiaga zile hadithi zinazokuja kuibuka ukubwani kuwa mtu utotoni alifanyiwa vitendo hivyo kwa miaka kadhaa....

Mungu atupishilie mbali na haya...
 
Kwa florah kweli mmewe kamvua nguo kbs.Bora angekuwa 18 flani hivi ila 17 yaani lusifa mkuu kamjaribu.Hiyo ya Viky sio balaa ila nikutokuwa makini tuu.Viky na mashosti wanaomzunguka hakuna aliyepenyeza unaa?
 
Oooh my God! Kama nilijua, Emma alionekana chekibobu tangu nimuonage! Dah, sijui atayaficha wapi yale mandevu yake! Mmmh, ila hizo kitu zinawaporomosha wengi!
Da Frola, one wrong doing kills million of good did. Poleka mwaego!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
ngojaaa aende jela akapokelewe na nyaparaaa wenzao wanaingiaaa na kesi kbwa yeye kesi ya kubaka lazima naye wambake nyambaffff
 
Ulokole gani huo!!!!!!. Yule jamaa ukimuangalia ni muhuni flani hivi. Unajificha Kwenye ulokole ili aonekane mwema.
 
Mungu ponya kanisa lako linaangamia hofu yako Mungu imetoweka kabisa. tuponye.
 
Hivi Flora na Emmanuel nani alaumiwe kwanza? sasa mtu unakimbia nyumbani kwako unapanga hotelini mme atajua unalala na nani. yawezekana hata huyo Imma amekaa mda mwingi hata unyumba hapati then anaachiwa kigori ndani. lakini pengine tujiulize mtu unabakwa mara ya kwanza inanogewa tena siku ya ijumaa then mara ya 2 j2 ndo inakuwa noma? na je siyo kwamba thre is something unusual ambacho kinafichwa? kama hakuna someone behind the scene then hawa wa2 walikuwa wanachapana kwa mda mrefu. Lakini na wewe Imma kwanini uende kwa shemeji si bora ungehangaika na back namba 3 hapo home au kama hamna ungepitia mitaa ya ohio au corner bar ila yote 9 michepuko nomaaaaaaaaaaaa
 
Mara hummer with flora, Mara flora left her husband,mara she left a 17 yrs old in her house, she shared with her husband, mara the husband left the house too, mara he changed his mind and went back, mara he came back to find a 17yrs old he raised, in the house he shared with his wedded wife, mara the wife live in a hotel because she doesn't have friends or relatives in town who she who she can live with, or may be she just don't want to be freakin bothered with any freakin body!, mara KGB wa Gachweke were called through 911 and were told that the devil's seen in a car "hitting" a girl, mara KGB ran to the scene...pyewwww!....mzee kulola must be turning in his grave.
 
Hivi Flora na Emmanuel nani alaumiwe kwanza? sasa mtu unakimbia nyumbani kwako unapanga hotelini mme atajua unalala na nani. yawezekana hata huyo Imma amekaa mda mwingi hata unyumba hapati then anaachiwa kigori ndani. lakini pengine tujiulize mtu unabakwa mara ya kwanza inanogewa tena siku ya ijumaa then mara ya 2 j2 ndo inakuwa noma? na je siyo kwamba thre is something unusual ambacho kinafichwa? kama hakuna someone behind the scene then hawa wa2 walikuwa wanachapana kwa mda mrefu. Lakini na wewe Imma kwanini uende kwa shemeji si bora ungehangaika na back namba 3 hapo home au kama hamna ungepitia mitaa ya ohio au corner bar ila yote 9 michepuko nomaaaaaaaaaaaa
Mbaya ziadi ndoa hizi takatifu hazijafafanua kipengele hicho -- yaani kama kuna ugomvi kati ya wanandoa nini hatima ya Unyumba (tendo la ndoa) kisheria?

Ndoa zetu za mikataba zina all details - Kwa mfano kama kuna ugomvi ama hakuna tendo la ndoa ni haki ya mwanadoa hadi mkataba utakapoisha.
 
Mazingira hayaoneshi kama kuna aliyebakwa hapa - ni fix. Ubakwe Ijumaa - kimya, tena Jumapili asubuhi sebuleni, nenda kanisani, mchana tena kwenye gari - hata kelele hazikupigwa, msichana anaenda polisi akitokea kwa Askofu, ambae ni mhisani mkuu wa dada! Kuna harufu ya shetani hapa!


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Ukiona mkeo anapewa upendeleo wa mtindo huu na mwanaume ni kiashiria cha hatari kwako. Emmanuel alipashwa kuchukua hatua mara moja , kwani yeye ni mlinzi wa mkewe na siyo askofu. Kwa kifupi kosa analofanya mkeo ni la kwako kwa kuwa umeshindwa kumlinda. Liki agizo la MUNGU kuhusu utawala ndani ya ndoa - "Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. (EFE. 5:23 SUV)". Lilitokea hapa ni udhaifu wa mume kumkabidhi mkeo kwa mwanaume mwingine - unategemea nini? Ladies are very easily influenced by materials, positions & popularity (hata celebrites wasiokuwa na pesa). Wanaume fanyeni wajibu wenu la sibyo tutaendelea kulalamika


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
  • Thanks
Reactions: kui
Back
Top Bottom