Mweyekiti ACT-Wazalendo Mbozi aenguliwa

Mweyekiti ACT-Wazalendo Mbozi aenguliwa

Ila sio kujiunga Na act niharamu kabisa yaan mazungumzo yetu yasihusishe act
 
Kikao chenyewe kilihudhuriwa na watu wawili ambao ni aliyepindua na aliyepinduliwa.
 
Ndio nafahamu hata ofisi yao niiliyo kuwa ya cuf wanachama wao siwafahamu

Nilishawahi kupita mitaa hiyo kipindi fulani ofisi yenyewe iko usawa wa makaburi ya Roma,kuna mafundi seremala.

Kulingana na Maelezo ya mleta uzi,mwenyekiti anae msema atakuwa ni yule aliyekuwa mwenyekiti wa CUF ni fundi wa kushona viatu na ni mchangamfu mzuri sana.

Siku moja katika mizunguko ya hapa na pale nilibahatika kuonana nae,nikamuuliza habari za chama chake cha CUF alinijibu kuwa siku hizi siko CUF niko ACT.

Nikamuuliza kuwa uliendaje ACT?akasema kuwa nilikuwa sina hili wala lile mara nikapigiwa simu na mtu mmoja aliye niuliza kuwa wewe si ndiyo mwenyekiti wa CUF wilaya ya Mbozi?akaitikia ndiyo mwenyewe,aliyepiga simu akajitambulisha kwake kuwa Mimi ni kiongozi wa ACT mkoa ninakuomba ufike mkoani ninamazungumzo na wewe.

Alipofika mkoani kesho yake alimkuta mwenyeji wake akiwa na wenzake waliotambulishwa kwake kuwa ni viongozi wa ACT Taifa.

Baada ya kutambulishana,aliambiwa kuwa tumepata habari zako za kiutendaji kwa hiyo tumekuita hapa ili utusaidie kukipeleka chama chetu Mbozi kama ni fedha zipo utapata za kutosha ambazo zitakuwa zinakusaidia kwenye shughuri za kichama na kimaisha.

Alisema kuwa nilipo sikia fedha hapohapo uzalendo wa CUF ulinitoka ni kahamia rasimi ACT na kupewa nafasi ya mwenyekiti wilaya.

Nikamrushia la kwangu na Mimi ninaomba unigawie hata kidogo basi,alijibu kuwa mbali na nauli niliopewa hawakuweza kunipa fedha zaidi ya hiyo,wamesema kuwa wakifika Dar watanitumia,Mimi siwezi nikakuficha wewe,mwisho wa mazungumzo.
 
Mtoa mada vp unakimbizwa na Zzk nini mbona unahema sana?, eleza ueleweke vzr
 
unapokua uajibiki kama kiongozi lazima ukaepembeni upishe wanaowajibika
asateni sana uongozi jimbo la mbozi kwa kuliona hilo
 
Kichwa Kina Jieleza Hapo Juu.
Mkutano Wa Kumuengua Ulifanyika Katika Ukumbi Wa Shimoni Village Na Kuhudhuliwa Na Wanachama Akiwemo Katibu Wake Ambaye Aliongoza Mapinduzi Hayo.Na Nafasi Hiyo Ili Tangazwa Kwa Anaye Taka Kugombea.Na Baadhi Ya Wajumbe Walichukua Fom.Uchaguzi Utafanyika Kesho J'mosi Katika Ukumbi Wa Champion Mda Ni Saa Tisa Jioni.

Pwagu na pwaguzi
 
Kwa Wote Mlio Mbozi Njooni Kwa Pm.Wekeni Mawasiliano Yenu Apo Nita Watafuta Tubadilishane Mawazo Kidogo.Na Mkitaka Kadi Nitawapeni.
Pia Msisahau Leo Tutakuwa Na Kikao Pale Shimoni Village.Muda Ni Saa Tisa Jioni.
Ahsanteni Na Karibuni
 
Kwa Wote Mlio Mbozi Njooni Kwa Pm.Wekeni Mawasiliano Yenu Apo Nita Watafuta Tubadilishane Mawazo Kidogo.Na Mkitaka Kadi Nitawapeni.
Pia Msisahau Leo Tutakuwa Na Kikao Pale Shimoni Village.Muda Ni Saa Tisa Jioni.
Ahsanteni Na Karibuni

Unataka tuje kwenye chama cha wenyeviti wachafu,wasiouzika ili kesho ikifika mtupindue?.
 
Hiki chama cha msimu bado kipo mimi niliju kimeshakufa?
 
Back
Top Bottom