Mweusi mwingine apigwa risasi na Polisi, USA!

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Polisi wa USA wameendeleza ubabe wao wa kuwapiga risasi watu weusi, huko Miami Polisi wamemwagia risasi za moto raia wa nchi hiyo ajulikanye kama Charles Kinsey ingawaje alinyoosha mikono juu ambayo ni ishara ya utii wa Amri bila shurti!

Charles Kinsey akionyeshe jinsi ambavyo Polisi wa USA walimiminia risasi ingawaje alijisalimisha!
floridashootingArtikelbild.jpg

Cop shoots caretaker of autistic man playing in the street with toy truck
 
Lakini still US ni safe kwa mtu mweusi kuliko Bongo,maana bongo wananchi wanafukiwa na magreda sio risasi tuu,watu wanauziwa kesi za bure na polisi bongo wanaua kama hawana akili nzuri huwezi kusikia tuu kwa sababu media iko weak sana
 
Kwani lengo ni kulinganisha Mauaji ya USA na TZ au lengo ni kutoa habari? Kwa nini kila kitu huwa mnakiona kama ni ushindani?
 
Sio ushindani,nimekupa tuu mtazamo wangu from different angle maana police brutality inaumiza kotekote
 
Lakini sijaleta habari kushindanisha Police brutality bali nimeleta kuhabarisha!
 
Back
Top Bottom