Mweusi mwingine apigwa risasi na askari USA

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,811
Kwenye Mji wa Hoston, USA Askari wa USA wamempiga risasi raia mwingine wa USA aliyejulikana kama Alva Braziel aliyetokea tu kuzaliwa na rangi nyeusi kama mimi, amefariki Dunia!

Askari hao wa USA wanadai kwamba raia huyo alikataa kutii amri bila shurti ya kuweka silaha aliyokuwa amebeba chini!

CCTV zikionyesha sehemu ya tukio!
===========================

Another black man was shot and killed by police in Texas early Saturday morning.

Houston Police said Alva Braziel was waving a gun around and pointed it at them when they opened fire. But surveillance footage from a nearby gas station suggests otherwise.

The video, which began circulating Saturday night on Twitter, shows Braziel walk out toward an intersection. When the squad car arrives, he appears to put his hands in the air and turn around, standing still for a few seconds before police shoot him.

Both officers involved reportedly had body cameras on them, but the footage has not yet been released.

Fury over Braziel’s death has erupted in the wake of two other citizen-recorded videos capturing police shooting black men in Minnesota and Louisiana. The deaths of Alton Sterling and Philando Castile have triggered nationwide protests this week. In the midst of the outcry over those killings, a dozen officers in Dallas were attacked by a sniper while protecting one such protest. Five officers were killed.

It’s not yet clear whether or not Braziel had a gun or if he threatened police. Police protocol in most U.S. cities encourages officers to use lethal force if they feel someone is threatening them, but there are often many other tools and opportunities to de-escalate a situation.

For example, in a majority-white neighborhood of Houston this weekend, an armed suspect fired seven rounds at police officers. Yet police managed to end the standoff with gas and other non-lethal means without killing the man. He may now be transported to a psychiatric center for evaluation and treatment.

Source: thinkprogress.org

DWN-Houston-600x347.png


Raia wa USA Alva Braziel aliyepigwa risasi na Askari wa USA!

Cm8Po4TWIAAC3Lk.jpg


Video ikionyesha Alva Brazil akinyanyua mikono yake juu kama ishara ya kusalimu Amri na utii wa bila shurti kwa Askari lkn bado Askari wa USA walimwagia risasi!






Picha na Habari yote kwa hisani ya Houston Chronicle!
 
ungekuja na habari kamili badala ya kipande tu cha ''Askari mwingine ampiga Risasi Mweusi USA''....PENGINE KULIKUWA NA SABABU YA MSINGI KUFANYA HIVYO.
 
wanasema eti sie monkey may be wanatuwinda ila ndo hivyo si unajua tena monkey akichukia hata embe atakupiga nalo tu
 
Kwenye Mji wa Hoston, USA Askari wa USA wamempiga risasi raia mwingine wa USA aliyetokea tu kuzaliwa na rangi nyeusi kama mimi, ambaye amefariki Dunia!

CCTV zikonyesha sehemu ya tukio!
DWN-Houston-600x347.png
Unamaanisha ni kachanga ndio ameuliwa!
 
ungekuja na habari kamili badala ya kipande tu cha ''Askari mwingine ampiga Risasi Mweusi USA''....PENGINE KULIKUWA NA SABABU YA MSINGI KUFANYA HIVYO.
Hapo inaonekana tatizo ni weusi
 
ungekuja na habari kamili badala ya kipande tu cha ''Askari mwingine ampiga Risasi Mweusi USA''....PENGINE KULIKUWA NA SABABU YA MSINGI KUFANYA HIVYO.
sababu za msingi kama zipi!! baadhi ya wamarekani wanatuchukulia sisi kama sio binadamu vilee
 
sababu za msingi kama zipi!! baadhi ya wamarekani wanatuchukulia sisi kama sio binadamu vilee
kama alikuwa alikuwa ni ''Threat'' kwa usalama wa raia wengine ama wa askari....ndio maana mleta mada angeleta habari kwa ukamilifu wake na si kutumia tukio la Minnesota/Dallas kujustify la huko Houston.
 
Jaman nao kwan wanyanyasike ivyo, si warud nyumban tu! Mashamba mbona yapo meng afrka
 
USA kama iraqi... Ila na sis weusi tusichukulie advantage hapo..we ushaambiwa weka silaha chini unabisha...
Alaf gharama za silaha zimepanda usitegemee warning shot..
 
Hapo inaonekana tatizo ni weusi
kwa mtoa habari alivyoileta na kuhusisha matukio yaliyotokea hivi karibuni..unaweza kuhitimisha na kusema ''Tatizo ni Weusi''..
japo inaweza kuwa si kweli...
 
USA kama iraqi... Ila na sis weusi tusichukulie advantage hapo..we ushaambiwa weka silaha chini unabisha...
Alaf gharama za silaha zimepanda usitegemee warning shot..

Ah wapi.

Huo ni uongo mkubwa.

Huwezi kabisa ukalinganisha USA na Iraq.

Nyie watu mnashangaza sana kwa kweli.
 
Hawa watu weusi waache kufanya ujinga kwa kivuli cha wao ni weusi wanaonewa, sasa kama kama kweli alikataa kusalim amri na ana silaha, anategemea kina Jesse jackson, al sharpton etc kumtetea?? Upuuzi tu!!
 
Back
Top Bottom