Mweshimiwa mwenyekiti+mwanasheria

Packysf

Member
Nov 1, 2011
11
0
Ibara ya 90 imepitishwa kw ombi la mwenyekiti na c mtoa mada mwanasheria mkuu.Huyu mama anamapungufu sana.
 
mnyika anasoma sana vitu huyu bwana...werema sijui kama anafanya homeworks zake sawasawa
 
naona AG anakinzana na ukweli,huyu jamaa ni kilaza sana...
 
Back
Top Bottom