hata mimi ningechukua 0 zangu lakini mwenzetu kagoma eti wamechuma wote mali,sasa wamechuma hali ni hiyo wangepanda je ingekuaje?,mimi hoi best
hapo umenimaliza....kwani mkichuma ndio uteseke maishani kisa kuchuna, vunjeni vipande kila mtu ashike lake jamani.
na unaambiwa wana miezi kama 9 wanaishi ki-baba paroko sijui awekwa na nini sasa hapana elewa mpaka sasa?,mimi ningempasua p**b* zake kwanza halafu ndio nikasepa kwani naamini ndio zinazompa jeuri nyambafffffffffffffff.
ha ha ha ha ha ha ha........!!!!!! hapo kwenye red, ungemtegeshea akiwa amelala sio???:A S 41::A S 41:na unaambiwa wana miezi kama 9 wanaishi ki-baba paroko sijui awekwa na nini sasa hapana elewa mpaka sasa?,mimi ningempasua p**b* zake kwanza halafu ndio nikasepa kwani naamini ndio zinazompa jeuri nyambafffffffffffffff.
He!!! ulishawahi kuwa nao wangapi bibie??mie hao hawanipagi shida kabisa, mwanaume akim support hawara uje wewe kashakuchoka/kinai hakuna ndoa hapo.
hapo umenimaliza....kwani mkichuma ndio uteseke maishani kisa kuchuna, vunjeni vipande kila mtu ashike lake jamani.
Kaka mdogo naona uko kikazi zaidi hapo:welcome:He!!! ulishawahi kuwa nao wangapi bibie??
Huyo labda sio MWANAMME!
He!!! ulishawahi kuwa nao wangapi bibie??
mie ntakwambia dearest kuna wanawake wala siwafahamu sijui wanajiona wamekosa kitu gani... kama mali mmechuma wote na watoto mmezaa...kwanini huwezi pigania kitu chako na haki yako? mwanamke utakuwa na haki yako na watoto na haki zao..basi huyu baba apewe tuu kipande chake aendezake na upuuzi wake!!!
kuna mwanamke mie namjua nayeye hivyo hivyo anadhalilishwa na mwanaume..mwanaume kaoa mke wa pili halafu kamleta mke wake humo humo ndani... basi yeye kabaki kulia tuu hawezi kuondoka kwa sababu ya watoto... kaomba talaka mwanaume anamwambia ntakuacha lakini usichukue mtoto wala mmoja... sijui kitu gani kinamfanya asimtwange huyo mwanamke na kumtoa ndani!!! wala sifahamu mie jamani wanawake wengine sijui vipi...
ukiona men anafanya hivi ujue keshamsoma mkewe na anajua kabisa hawezi kufight naye, akifahamu mkewe ni mkorofi kama pwent anazomwagaga Nyamayao hapa jamvini! sidhani kama atadhubutu!
mie mwenyewe nashangaa yule mwanamke kafungiwa chumbani wala hatoki...sijuu huyo baba kam okota wapi mpaka akubali kufungiwa....ila huyu baba anamsupport si ndio kamleta yeye... yani kama umeyasikia maneno yangu dearest...mie nimemwambia hayo hayo maneno achana na karatasi...pigania haki zako na haki za watoto wako....haaa yaani awaache watoto wake walelewe na huyo mwanamke mwingine kama vile yeye kafa vile khaaa, angalia maajabu ya cc wanawake, sasa huyo kuhamia ndani na mwenzie yupo anafikiria nn jamani?yaani jamani wanawake cc bac tu tuna roho ngumu sana....mie nasemaje mwanamke mwenzangu acfikirie kunifanyia upuuzi labda msukuma a support vinginevyo haaa ndio itakuwa cku yake ya mwisho kuwa na raha maishani...halafu huyo anateseka kwa kusubiria karatasi(talaka)? jamani kuna vitu vinaudhi kweli huelewi akili ya mtu ipo wapi...yaani nasubiria karatac kama ndio mtaji wa kwenda kuanzia maisha mapya....bwana wewee mie cjui kabisa.
I second that!!! yani mwanaume anakusoma na kukujaribu kuanzia mnapokutana... huyu ndugu yanu mie alikuwa na kazi nzuri sana huwezi kuamni mwanaume alivyokuwa anataka kum owa alivyo kuwa anabembeleza... ..lakini alivyo muoa akamdanganya nini sijui mwanamke akaacha kazi akaanza kuzaa na kulea...sasa ndio mwisho wako huo...kumletea mwanamke ndani ya nyumba yake!!! yani mie mpaka nakosa raha nam hurumia huyu cousin...mwanaume anakusoma kuanzia cku ya kwanza mlipokutana, sasa wewe jiweke ki imani imani ambayo ni ya ku pretend ili afikie malengo baadae kakuweka ndani unaonyesha makucha yako yeye anaona umebadilika cjui mwanzoni hukuwa hivyo, kumbe uli pretend tu wengine kuanzia cku ya kwanza walijua wanaoa vichaa wenzao bac lyfe linasonga.
hayo maneno sio mambo yale ya ''nampenda mke wangu mbayaaaaaaaaaaa'' sijui nani tena yule alieingiza post ile anampendamkewe huku anamsaliti watu hupendana mpaka kujenga uadui na watu chezea.............