Freema Agyeman
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 3,666
- 3,526
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
nitashukuru sana OTIS hebu nipe hiyo dawaFirstLady1.
Sitaki like.
Nataka kukupata dawa.
OTIS.
Unahitaji msaada wa aina gani na kutoka kwa nani (anybody?) na juu ya nini hasa?
Funguka usaidiwe.
Inaonyesha umepanda kitandani bila kusali ndo maana una hasira
nitashukuru sana OTIS hebu nipe hiyo dawa
nadhani bado iko border ...Angalia PM.
Imefika.
OTIS.
Estson22 niko ofisi ya peke yangu na mkoloni ila sio yeye alonikwaza ndo naanzaia wapi kucheza Volleyball
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi..
Ndio kusema waliochangi hii sredi wote wamepinda? tuambie wamepinda nini? chini au juu.Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.
Na wewe Johnsecond hiyo post ya asubuhi bwana nilisema nimepanda kitandani no kulala..ila lugha bwana ngumu i hope umenilewa lakini..Sasa wewe si umesema unapanda kitandani usingizi hauji? tena kumbe uko ofisini hapo sijakuelewa.
eeeeiyaaa lokwasam tabata pemperoziii sante kaloku libie tozare bampalakiiii ARV na kondomuuu, sanzwe na kibaka kufuli la kiunoni, teretaaani mirungi si majanii, bemjengesako na karolaiti zishushwe bei. Ameen
Nimekuombea kwa kilugha, kesho utaamka ukiwa mzima.
Pepo toka!