Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

Pole sn hiyo huwa inatokea sn,hata mie huwa unanipata ila ikijatu nilishapata dawa huwa nasikiliza gospal songs hasa za bahati bukuku au Matha Mwaipaja na huwa nafarijika na kulala kbs!
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

One thing nimependa kuhusu hii post First Lady ni kua you have opened up.... Hii ni nzuri saana no matter the extent za hasira ulizo nazo... Naomba tafadhali dear zingatia maneno ya ukarimu ya members woote walozungumza humu ndani bila kusahau ku-apply signature yako to the fullest. Pole saana na hio hali, ni rahisi kusema take it easy... BUT mie personally naomba jiulize saana na kua true to your self what you think the problem is.... na kama bahati mbaya umefanya hivo lakini hujatambua then itakua one of those depressions ambazo hutokea kwetu woote once in a while... Pole saana FL, Hopefully soon you will be back to normal and believe me you tutakuombea....
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

My Dear....

Take time to think...
it is the source of power

Take time to play...
it is the secret of perpetual youth

Take time to read...
it is the fountain of wisdom

Take time to pray...
it is the greatest power on earth

Take time to laugh...
it is the music of the soul

Take time to give...
it is too short a day to be selfish
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Wait kwa siku 5 ukitoka kwenye MP mambo yatakuwa mazuri.
 
Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.
 
Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..
Shemeji hayupo jamani!!!!!!Mwambie akupoze kidogo eeeeeh.tehte
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom