Mwenzenu nina hasira kila kitu nakiona kibaya..

Nimewaza mambo milioni kidogo bila majibu ........
Nimepanda kitandani sijapata usingizi hata kidogo.....
Ndani ya masaa nimewaza mazuri yote na mabaya zaidi nimechoka kiakili...
I wish nilie kwa sauti...
I wish ....
OMG nahitaji msaada ....nachanganyikiwa nashindwa kusema kwa nn nina hasira ..niombeeni..

Unahitaji msaada wa aina gani na kutoka kwa nani (anybody?) na juu ya nini hasa?

Funguka usaidiwe.
 
Unahitaji msaada wa aina gani na kutoka kwa nani (anybody?) na juu ya nini hasa?

Funguka usaidiwe.

Mama msaada wenyewe ndo kama ushauri wa wana JF hapa wengine wamesema nililala bila kusali jana ..hiyo ni kweli kwa sababu ya hasira zangu nilipanda kitandani na kulala...
wengine wamesema nisome mistari ya bible
wengine wamesema sijui nicheze ndebe ndebe ...
wengine wamesema nikaogelee ...
wewe niombee mpendwa
 
Estson22 niko ofisi ya peke yangu na mkoloni ila sio yeye alonikwaza ndo naanzaia wapi kucheza Volleyball

Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi..

Sasa wewe si umesema unapanda kitandani usingizi hauji? tena kumbe uko ofisini hapo sijakuelewa.
 
Mbona humu JF kuna burudani ya kutosha! Mwenzio nikiona siku haiendi vema, natafuta sredi inayochangiwa na watu waliopinda. Baada ya muda stress zoooote kwao. Pole mwaya, utarudi normal.
Ndio kusema waliochangi hii sredi wote wamepinda? tuambie wamepinda nini? chini au juu.

by the way Pole FL. chakula je wala kama kawa Nahisi kama ndio ile taarifa ya jukwaa la Dk.

Ukisema yote kwa jina langu nami nitafanya! Niite nami nitaitika!
 
Sasa wewe si umesema unapanda kitandani usingizi hauji? tena kumbe uko ofisini hapo sijakuelewa.
Na wewe Johnsecond hiyo post ya asubuhi bwana nilisema nimepanda kitandani no kulala..ila lugha bwana ngumu i hope umenilewa lakini..
 
eeeeiyaaa lokwasam tabata pemperoziii sante kaloku libie tozare bampalakiiii ARV na kondomuuu, sanzwe na kibaka kufuli la kiunoni, teretaaani mirungi si majanii, bemjengesako na karolaiti zishushwe bei. Ameen

Nimekuombea kwa kilugha, kesho utaamka ukiwa mzima.
Pepo toka!
 
smile 2.jpg

Kila jambo linakuja then linapita,
raha jipe mwenyewe mwanangu,
maisha hakuna.
 
eeeeiyaaa lokwasam tabata pemperoziii sante kaloku libie tozare bampalakiiii ARV na kondomuuu, sanzwe na kibaka kufuli la kiunoni, teretaaani mirungi si majanii, bemjengesako na karolaiti zishushwe bei. Ameen

Nimekuombea kwa kilugha, kesho utaamka ukiwa mzima.
Pepo toka!

we Klo umenishinda.....hiyo sala yako kiboko.....
haya.....Amen......

kama bado unajisikia vbaya tembelea JFJOKES kuna wakali kama excellent,aminata9,jaguar............naamini utafurahi
 
Pole sana FL..hopefully hiyo hali imeshaisha.
Kama bado jitahidi kufanya mambo yanayokufurahisha..kukaa na watu wanaokufurahisha na kumuavoid huyo aliyekuboa kwa muda!!
 
Similar Discussions

11 Reactions
Reply
Back
Top Bottom