maria pia
JF-Expert Member
- Jul 24, 2012
- 516
- 118
Acha Mapepe weweeeeeee! Unazania kupata NDOA mchezo!!!!!!!!!!!!??????????? HAKUNA MWANAUME WAKO PEKE YAKO! Jua kucheza na nafasi yako bibi! Huwezi kukaba nafasi zote! KUNA MKE NA VIBURUDISHO!!!!!!1 Upo hapo?
Hapo ulivomuona kwa dala ndo wivu umekushupaaa je huko kazini na kwengineka USIPOKUWA NAE wajua anafanya nini? Mbona kakuposa sasa na asiwapose hao warembo? Nyoooooooo!
Wewe tulia hapo, jiamini namba 1, ni wewe, namba 2 wewe, namba 3 weee, zinazobakia waachie hao wanaotaka KUMBINAFSISHA HUYO BWANA KWENYE DALA DALA!!!!!!!!! (Ukichagua buzi chagua lililonona sio kwenye dala jamani! haaaaaaaaa! Natania tu jamani)
Habari ndo hio! KABA NAFASI YAKO ACHA KUFOCUS NAFASI ZA WENZIO!!!!!!!! LAZIMA TUGAWANE UMASIKINI CHEZEYA!!!!!!! Ukijifanya mjuaji WANAKUBINAFSISHIA HIKO KIBWANA CHAKO!!!!!!!!! Mjini hapa!!!!!!!!
Oh!!!!
She s back, mic u big
Haya sista ushauri huu hapa