Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

Mwenzenu nimevurugwa sijielewi

Jana nilitoka na shemeji wenu out kucerebrate baada ya posa yake kupokelewa kwa wazazi wangu baada ya urafiki wa miezi miwili. Tukapanda zetu daladala. Ndani ya daladala
kulikuwa na viti viwili tu vitupu.
Mbele kwa dereva na hapo kwa
kondakta; mchumba wangu akaketi mbele na
msichana flani mzuri na slender kuliko mie bonge. Cha kushangaza nikaona shemeji yenu
anamuongelesha yule m-diva kila saa na kabla ya diva kushuka wakapeana namba za simu nikauchuna huku naumia moyoni. Kituo kilichofata tukashuka na kuanza kula bata.
Mara simu ya shem wenu ikabip mara kadhaa akawa anaichunia. Nilipoichungulia iliandika 'mrembo'. Baada ya muda akaamua kuipiga then akaniambia ni ofisini anahitajika kuna gharula. Fasta akasimama akanikiss, akanipa nauli yangu buku na kuniamuru nirudi nyumbani. Kuanzia siku hiyo namba ya 'mrembo' ikipigwa naambiwa ni ya sekretari wetu tunamwitaga hivyo kwa yuko too artificial ameniambia naitwa kazini. WanaMMU mwenzenu nimevurugwa sijui nifanyeje. Nisaidieni mwenzenu nimevurugwa.....uwiii

Niinbox nikupe namba yangu na wewe uisave Kakaa nikiwa nakubeep unamuambia kule kwenye sacosi wanakuita ukajaze fomu
 
pole sana mrembo kwa kuvurugwa njoo kwangu nikupe pumziko la nafsi wachana naye na asikupe gagasuko la moyo ewe malkia
 
Du pole san em tupia no yako na mim nikuonyesh jins ya kumvuruga na yeye...
 
Acha Mapepe weweeeeeee! Unazania kupata NDOA mchezo!!!!!!!!!!!!??????????? HAKUNA MWANAUME WAKO PEKE YAKO! Jua kucheza na nafasi yako bibi! Huwezi kukaba nafasi zote! KUNA MKE NA VIBURUDISHO!!!!!!1 Upo hapo?

Hapo ulivomuona kwa dala ndo wivu umekushupaaa je huko kazini na kwengineka USIPOKUWA NAE wajua anafanya nini? Mbona kakuposa sasa na asiwapose hao warembo? Nyoooooooo!

Wewe tulia hapo, jiamini namba 1, ni wewe, namba 2 wewe, namba 3 weee, zinazobakia waachie hao wanaotaka KUMBINAFSISHA HUYO BWANA KWENYE DALA DALA!!!!!!!!! (Ukichagua buzi chagua lililonona sio kwenye dala jamani! haaaaaaaaa! Natania tu jamani)

Habari ndo hio! KABA NAFASI YAKO ACHA KUFOCUS NAFASI ZA WENZIO!!!!!!!! LAZIMA TUGAWANE UMASIKINI CHEZEYA!!!!!!! Ukijifanya mjuaji WANAKUBINAFSISHIA HIKO KIBWANA CHAKO!!!!!!!!! Mjini hapa!!!!!!!!

my love, for that matter ukiolewa are ready to share the man?
 
Miez miwili posa duh, haya pamoja na utunzi mzuri lakin kwa staili hiyo tegemea mengi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom