mwenzenu nimefiwa na bibi

Huyu amezoea kufumaniwa alaf ana samehewa.
Ngoja nimkate ndio atashika adabu!

Au tumwambie st paka mweusi amuombee atokwe n hili pepo

Dawa yake ni kumkata tu,kwishney tuone na ufataki wake ataupeleka wapi.
 
Hapo tena wangu pakuuliza!
Kweli alikuwa kipofu kukuacha na atajuta! Ana shangaa mtoto unapendeza tu ye ajui!

Tena nakuomba utafute ile suti kijambakoti,
na mchongoko chini ili Ruhazwe JR aone kuwa yeye alikisema cha nini.
 
Last edited by a moderator:
Kiongozi eti msiba wapi? Madame B ananizengua tu hapa.

Unavyouliza utadhani utatia mguu wako.
Nimekwambia uko Kunduchi-Mtongani.
Usije na shuka,matanga hakuna,
wala usije na ndizi hakuna ubwabwa, ni full uji na tende kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Hapa man philosophy and Religion imetulia

 
msiba huko mkoan kagera
Nashukuru kwa taarifa mkuu, na pole sana kwa msiba. Hebu kisome hiki kmbaumbau Madame B kinavyompotosha babu hapa chini. Nlikuwa nshafika Africana, ngoja nigeuze zangu nikakazie swaumu maeneo ya Sinza.

Unavyouliza utadhani utatia mguu wako.
Nimekwambia uko Kunduchi-Mtongani.
Usije na shuka,matanga hakuna,
wala usije na ndizi hakuna ubwabwa, ni full uji na tende kama kawa.
 
Last edited by a moderator:
Nashukuru kwa taarifa mkuu, na pole sana kwa msiba. Hebu kisome hiki kmbaumbau Madame B kinavyompotosha babu hapa chini. Nlikuwa nshafika Africana, ngoja nigeuze zangu nikakazie swaumu maeneo ya Sinza.


Africana wapi wakati nimekupita hapo Family Bar unakunywa mtori?
Acha fiksi Babu.
We mkubwa ujue.
 
Mwalimu wangu Madame B nina kiu!


Una kiu ya kunywa nini Mwnfnz wangu mpendwa?
Kama mbinu zote za kukumata Mi-tetea nilishakufundisha tulipokuwa darasani, sasa tatizo nini?
angalia usije nitia aibu.

Haya una kiu cha nini?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…