mwenzenu nimeekamatika hapa

Haya sakapal na night shift zako, sijui kwa nini sir God hakutuwekea usometer? (Equivalent to odometer), ili mtu akitaka kujuaumetumikaje basi anasoma tu! Sijui kama ungekuwa na ujasiri wa kusifia hiyo night shift!!

Mungu alikuwa na akili sana na alijua watakuwepo watu wa kutaka kujua odometer za wenzao ilhali za kwao pia zinasomeka ndo maana akaweka iwe siri ya mtu na mungu mwenyewe. Burudika na night shift best.
 
kila la heri....
jikamatie haswaaaaa

Asante best yaani nimejikamatia kisawasawa nisidondoke wala nisibanduke, hapa ni ful;l night shift raha yake haielezeki basi tuu am recalling the whole weekend.....
 
..." i know you're not alone on the night shift"....

nahisi ulienjoy sana sakapal
 
Last edited by a moderator:
my wee hiyo shule mpka iishe hiyo!ehehhehehhehehhe hakuna rangi utaacha kuona!
enjoy mwaya wee!
 
Mmmh!!! basi next time tukifanya riheso ya dansi utanionesha vile unakuwa nyoronyoro...

mmmhhh eheheheheee yaaani sijui nielezeje mmmh
anyways inatofautiana mtu na mtu ila kwa kifuti mdada anakuwa horny, happy, yaani ukimtizama usoni tuu she is smiling and lovable and all the like................. (not all this is me)
 
Mmmh!!! basi next time tukifanya riheso ya dansi utanionesha vile unakuwa nyoronyoro...

usjali nitakutonya mapema siku ya riheso utajionea mwenyewe nyoronyoro looh. Good day!!
 
my wee hiyo shule mpka iishe hiyo!ehehhehehhehehhe hakuna rangi utaacha kuona!
enjoy mwaya wee!

hahahahahaaaaa wifi yangu yaani we acha tuu huku kila rangi naona hadi nyotanyota hehheheheeeeee ila hii night shift naona inazidi yote sijui labda itakuja inayoidizi hii mmmh nyoronyoro.... kama sufii hehehee
 
Hiyoo mibangi mnayovuta ni stimu za ku.....

ushawahi kunyoroteshwa weye? yaani unakuwa nyoronyoro sasa na hiyo burudani ya hiyo sauti ikupitie masikioni walah lazima upige yowee la kimarangu kiruuu!!!!
mzima weye lakini? ndeushamasora?
 
I salute all MMU, samahani kwa utakayekwazika kwa uzi huu ila.......... niko nyoronyoro.....
Mmmh!! Sijui ndo uteja, ila hapa nimekamatika, week end hii nilikuwa night shift full...
Haya maneno na huu wimbo ndo vilitawala kwenye night shift. Hadi sasa bado naimba, karibuni tuhorojeke pamoja.
Peace and love on a night shift.
Commodores - Nightshift - YouTube
Commodores - Nightshift - YouTube

kweli haya maneno ni mpakauwe nyoronyoro ndio utayapenda:

nightshift with lyrics



http://www.youtube.com/watch?v=Pm2-lOUYUFU
 
ushawahi kunyoroteshwa weye? yaani unakuwa nyoronyoro sasa na hiyo burudani ya hiyo sauti ikupitie masikioni walah lazima upige yowee la kimarangu kiruuu!!!!
mzima weye lakini? ndeushamasora?

Mbado...ngoja ni-view with lyrics then ntajua una maanisha nini!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom