Mbona hujapick?
usepe uende wapi??
Hommie, mie nlishasepa.
hapana sijipendi, ila nampenda mama!
Kavurugwa huyo, achana nae... unaikumbuka ile programu tuliyokubaliana..!??
ok! very simple! umemeza dawa sio?! endelea kusubiri kidogo!
ushauri toka kijijini kwetu LESIRAA:
fanya hv: chukua mayai ya kuku wa kienyeji pasua then yameze, ukiweka magadi itakuwa bomba zaidi! no specified doze but fanya hivyo at least mayai 2x3!
pole sana! utapona!
Pole saana mdogo wangu... Huduma uliyonipa ilitosha si lazma uimbe. 🙂
On a serious note vipi unaendeleaje leo? Hiyo therapy umepewa imekusaidia ama ndio imekua worse?
asante sana dada.
bado imekataa kutoka na naliona koo kavu sana. najua kuna vidonda.
ngoja nakucheki pm ni discuss na wewe kitu nyeti kidogo.
Pole sana teacher,
Ila hebu nambie ukweli...eti unaumwa kweli?
Mie nahisi kama kuna mtu kala hadi kakomba hadi mboga...lol!!:suspicious::suspicious::A S tongue:
Babu kumbe na wewe una maneno?
Shkamoooo babu