gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,720
Wanajamvi wenzangu,
siku ya leo mwenzenu naumwa sana. J1 nilikuwa bize nafanya kazi fulan ambayo ilinisababisha mwisho wa siku niwe nimevuta kiasi kikubwa cha hewa yenye particles. Nilipogundua hilo nilianza kwa nutafuta dawa ili kusafisha koo but hazikuwa na mafaniko makubwa manake jana j2 hali ilikuwa acute. kufika usiku wa jana sauti imekauka kabisa na kooni nikawa naskia kama kuna particles. Leo nimejitahd kwenda hospitakli therapy niliyopewa ni kiboko as kwanza imeniumiza lakini imeondoa particles zote lakin kutokana na majeraha yaliyopo ndani ya koo bado sauti haiwez kutoka kabisa. ndio maana hata kwenye b'day ya dada mkubwa AshaDii nimeshindwa kuimba.

Last edited by a moderator: