mwenzenu naumwa sauti.

mwenzenu naumwa sauti.

Pole sana teacher,

Ila hebu nambie ukweli...eti unaumwa kweli?

Mie nahisi kama kuna mtu kala hadi kakomba hadi mboga...lol!!:suspicious::suspicious::A S tongue:

babu naumwa kweli bana.............leo sina sauti kabisaaaaaa.
hapa naongelea sms tu.
usiulize chanzo..............
 
hapa tukusaidiaje?hospital si ushaenda?

hapa natafuta faraja tu Zahra White
ama wewe ungefanyaje??
MANAKE NIMEJIKUTA NAWAZA TU KWA SAUTI INGEKUWA VPI KWAMBA SASA HIVI UNGEAMBIWA NA BABA KIJACHO HAKUTAKI.
 
Last edited by a moderator:
Na sauti yako ilivyo tamu hivyo, ngoja kwanza nikupigie nisikie itavyokuwa husky in a sexy way.

Pole mwaya, kikubwa hizo foreign particles zimetolewa. With time and honey utarudia hali yako ya awali.

thanks ma dearest!!
kuna wakati nimefikiri sijui ni ibilisi gani huyu manake tarehe ile imekaribia sasa nitasemaje mbele za watu??
 
Sasa mtu anapo "like" thread kama hii maana yake amefurahia hali hii au ndio namna yake ya kuonesha compassion?
Pole sana gfsonwin, just rest your voice for sometime...
 
Last edited by a moderator:
thanks ma dearest!!
kuna wakati nimefikiri sijui ni ibilisi gani huyu manake tarehe ile imekaribia sasa nitasemaje mbele za watu??

Nikumbushe, zimebaki siku ngapi? God will see you know; hii imetokea ili urealize jinsi gani Mungu anaweza kukuvusha ktk mapito magumu.
 
Nikumbushe, zimebaki siku ngapi? God will see you know; hii imetokea ili urealize jinsi gani Mungu anaweza kukuvusha ktk mapito magumu.
zimebaki siku 3 tu
 
Sasa mtu anapo "like" thread kama hii maana yake amefurahia hali hii au ndio namna yake ya kuonesha compassion?
Pole sana gfsonwin, just rest your voice for sometime...

thanks ma dear.
nafikiri wameonyesha tu kwamba imewagusa kwa kulike.
 
thanks ma dear.
nafikiri wameonyesha tu kwamba imewagusa kwa kulike.
Haya. Kama ndio uelewa wako mwenyewe basi ngoja na mimi nika-like
I have the same problems ninapo kutana na baridi, sauti inapotea...
 
while you need a pole, just take a break from conversations and allow the healing to take a natural course, you should be fine in a little while
all the best in the healing process
 
Back
Top Bottom