mwenzenu naumwa sauti.

mwenzenu naumwa sauti.

hapa natafuta faraja tu Zahra White
ama wewe ungefanyaje??
MANAKE NIMEJIKUTA NAWAZA TU KWA SAUTI INGEKUWA VPI KWAMBA SASA HIVI UNGEAMBIWA NA BABA KIJACHO HAKUTAKI.

we huna mume?hata kibwana cha kukuliwaza?
FYI hawezi na haitotokea.
Nyaraka muhimu ninazo
 
Last edited by a moderator:
Usiongee na mtu yeyote kwa muda wa siku 5 mfululizo na uwe unatafuna pilipili kila siku asubuhi.
 
Uwiiiiiiii best! Ile project itakuua, au ndio bush na obama ni wamojawapo??? Pole sana kha! Asprin hubby wangu mteule, kuja pande hizi utoe pole haraka!
 
Last edited by a moderator:
Wanajamvi wenzangu,
siku ya leo mwenzenu naumwa sana. J1 nilikuwa bize nafanya kazi fulan ambayo ilinisababisha mwisho wa siku niwe nimevuta kiasi kikubwa cha hewa yenye particles. Nilipogundua hilo nilianza kwa nutafuta dawa ili kusafisha koo but hazikuwa na mafaniko makubwa manake jana j2 hali ilikuwa acute. kufika usiku wa jana sauti imekauka kabisa na kooni nikawa naskia kama kuna particles. Leo nimejitahd kwenda hospitakli therapy niliyopewa ni kiboko as kwanza imeniumiza lakini imeondoa particles zote lakin kutokana na majeraha yaliyopo ndani ya koo bado sauti haiwez kutoka kabisa. ndio maana hata kwenye b'day ya dada mkubwa AshaDii nimeshindwa kuimba.

pole sana mwalimu wangu,hope you will get well soon mamie.
 
Last edited by a moderator:
U will be fine, remedy umepewa. Lkn for insurance andaa mtu just in case dear awe voice ya kwako. Ngoja nikupigie nione how bad it is.
waiting for yur call ujue!!
 
halafu unapenda vijiupepo wewe??
na hili baridi bado tu unataka viupepo??

Haya hebu niambie hiyo sauti inaumajeumaje? Leo ndo kwa mara ya kwanza nimesikia sauti inauwa.

Tabibu wangu Lady doctor hebu njoo huku umtibie kungwi wetu.
 
Last edited by a moderator:
Nimeshaisoma lakini sijaona uhusiano wa koromeo kuuma, na sauti nayo iumwe. Hiyo sauti inaumwa sehemu gani?

ni ngumu sana kuelewa connectio kati ya trachea na voice box hasa kwa fundi vyuma kama wewe.
naamin hapa ningekuwa naongelea tension of steel ama minimum factor of safety ungenielewa mara moja.
 
ni ngumu sana kuelewa connectio kati ya trachea na voice box hasa kwa fundi vyuma kama wewe.
naamin hapa ningekuwa naongelea tension of steel ama minimum factor of safety ungenielewa mara moja.

Hahahahaha nimecheka kwa sauti ujue.... ngoja nisepe!
 
Back
Top Bottom