mwenzenu naumwa sauti.

mwenzenu naumwa sauti.

mi ninayo dawa. je waitaka dawa yangu?. pole sana mwaya, usiwe na hofu utapona. pole sana. nakupenda gfsonwin. mia
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahahahahhahahahahah,

Utu uzima dawa mdogo wangu...

Huoni teacher ameshindwa kujibu?? She knows what I am talking about...

Ila naamini sauti imerudi by now...the dose was not lethal..lol!!

Babu DC!!

Nimekubali babu....utu uzima dawa.

Yaani unamuelewa mtu kuliko yeye mwenyewe....hapana chezeya wazee wa 47 loh
 
Wanajamvi wenzangu,
siku ya leo mwenzenu naumwa sana. J1 nilikuwa bize nafanya kazi fulan ambayo ilinisababisha mwisho wa siku niwe nimevuta kiasi kikubwa cha hewa yenye particles. Nilipogundua hilo nilianza kwa nutafuta dawa ili kusafisha koo but hazikuwa na mafaniko makubwa manake jana j2 hali ilikuwa acute. kufika usiku wa jana sauti imekauka kabisa na kooni nikawa naskia kama kuna particles. Leo nimejitahd kwenda hospitakli therapy niliyopewa ni kiboko as kwanza imeniumiza lakini imeondoa particles zote lakin kutokana na majeraha yaliyopo ndani ya koo bado sauti haiwez kutoka kabisa. ndio maana hata kwenye b'day ya dada mkubwa AshaDii nimeshindwa kuimba.
God be with u!
 
Pole mkuu mwenzangu, wakati mwengine jaribu kutumia mask! siunajua kemikali nyingi siku hizi zinawekewa kemikali!:A S confused:
 
mie mzima kabisa
nitakucall my dear!!

jamani ukinicall siko hewan sina sauti so nimezima simu.

uwiiii nimesahau
basi ukipona tutaongea!!

asante sana. upo wapi siku hizi mbona hatuonani?. mia

nipo mdogo wangu. ukitaka kuniona just call me.
HA HAAA, yaani huu uzi ndo nauona saa hizi, pole sana my dear frendo.....
hizo quote zimenifanya niwaze sana, nani anauziwa mbuzi kwa gunia?
mjini hapa kazi kweli...
hebu cacico kuja pande hii unisaidie kumwelewa shostito wetu hapa.... hii inamhusu pia mdogo wangu snowhite
 
mbuzi kwenye gunia tena??
mwenzio naumwa sauti na hapa toka jana sisemi niko kama vile bubu.
naamin sitakuwa hivi milele nitapona tu ndio mana namwambia figga anipigie simu ila with condition kwamba nikipona
 
for sure utapona dear, soon.....
na yale mambo yetu yatapita salama kabisaaaa, tena na sauti yako, In Jesus Name..... Amen.
nilidhani kama anataka kumtembelea mgonjwa basi akucall wakati ulishamwambia Passion lady unazima simu.
 
HA HAAA, yaani huu uzi ndo nauona saa hizi, pole sana my dear frendo.....
hizo quote zimenifanya niwaze sana, nani anauziwa mbuzi kwa gunia?
mjini hapa kazi kweli...
hebu cacico kuja pande hii unisaidie kumwelewa shostito wetu hapa.... hii inamhusu pia mdogo wangu snowhite
shikamoo dada mkubwa!
 
mwali pole sana kwa kuumwa!vip yai linaweza kusaidia?
hebu jaribu maybe mambo yatakaa sawa!
 
HA HAAA, yaani huu uzi ndo nauona saa hizi, pole sana my dear frendo.....
hizo quote zimenifanya niwaze sana, nani anauziwa mbuzi kwa gunia?
mjini hapa kazi kweli...
hebu cacico kuja pande hii unisaidie kumwelewa shostito wetu hapa.... hii inamhusu pia mdogo wangu snowhite

hahahaaaa!!jamani @fp
humfichii siri shostito wako
atakua alimaanisha akishapona, ndio
mdogo wake ampigie!!
 
nilikuwa sijaiona hii sista gfsonwin, hope uko poa sasa!!
 
Back
Top Bottom