mwenzenu naumwa sauti.

Na sauti yako ilivyo tamu hivyo, ngoja kwanza nikupigie nisikie itavyokuwa husky in a sexy way.

Pole mwaya, kikubwa hizo foreign particles zimetolewa. With time and honey utarudia hali yako ya awali.
 
^^
Kunywa yai bichi lililochanganywa na chumvi kiasi,,sauti yake utaitwa B.B.C na ualimu utauacha
^^
 
Pole sana teacher,

Ila hebu nambie ukweli...eti unaumwa kweli?

Mie nahisi kama kuna mtu kala hadi kakomba hadi mboga...lol!!:suspicious::suspicious::A S tongue:
 

ok! very simple! umemeza dawa sio?! endelea kusubiri kidogo!

ushauri toka kijijini kwetu LESIRAA:
fanya hv: chukua mayai ya kuku wa kienyeji pasua then yameze, ukiweka magadi itakuwa bomba zaidi! no specified doze but fanya hivyo at least mayai 2x3!

pole sana! utapona!
 

^^
Kunywa yai bichi lililochanganywa na chumvi kiasi,,sauti yake utaitwa B.B.C na ualimu utauacha
^^

ujumbe ufike kwa gfsonwin
halafu we Himidini utakuwa upo kijijini kwetu wewe, haiwezekani ushauri wako huu eti utaitwa bbc na utaacha ualimu!
 
Last edited by a moderator:
Pole sana teacher,

Ila hebu nambie ukweli...eti unaumwa kweli?

Mie nahisi kama kuna mtu kala hadi kakomba hadi mboga...lol!!:suspicious::suspicious::A S tongue:

Mawazo yako hayako mbali sana na yangu...
 
Huduma ya Kwanza>>

Lost Your Voice? Home Remedies for Laryngitis
Your throat is so sore and dry, it probably hurts to swallow. Your voice is weak and hoarse. And this annoying, tickling sensation has you wanting to clear your throat all day long.You have laryngitis. And there are many things that can cause this condition. Sometimes, laryngitis is a result of an illness, like a cold, the flu, sinusitis, or bronchitis. Other times, laryngitis is caused by exposure to some irritant, like cigarette smoke, or excessive alcohol.
You can also get laryngitis from putting too much strain on your vocal cords. Sitting up all night chatting with old friends, singing with a little too much gusto, or cheering too loud at a baseball game can all cause laryngitis.
Laryngitis isn't usually a severe condition. In fact, it will usually go away on its own in a few days to a week. But here are some home remedies that will help you get rid of the pain and discomfort of laryngitis a little faster.
If you have laryngitis, keep your throat moist.
Keeping your throat moist as much as possible is the first step to curing laryngitis.
Carry a bottle of lukewarm water or juice with you, and sip from it constantly. You can also drink warm tea with honey. Avoid drinking liquids that are too hot or cold.

Pole Sanaaa...
 

Hiyo dozi ya mayai ataimudu kweli kwa mshahara wetu huu na hapo CWT nao wamekata....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…