Binti Magufuli
JF-Expert Member
- Apr 2, 2011
- 7,479
- 5,161
khaa kwako nimeshapenda jamani,siwezi kuwa njia mbili nimeshakupenda mazima
Mbona ATM , kadi za magari na hati ya nyumba unasita na unadai eti bado unafikiri? ina maana bado hujafanya maamuzi