mwenzenu leo nimejiunga

mwenzenu leo nimejiunga

Viol

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2009
Posts
25,419
Reaction score
18,368
Nimejiunga wanajamii forum,natumaini huku mko poa ,nimewaletea zawadi
 
karibu ukaribie,upewe kiti ukalie na kitako utulie,wewe lete tu hizo zawadi hakuna kokoro wala nini.Nalog off
 
Karibu tujumuike. Ila tahadhari maembe yako yakawa Dodo au Ng'ong'o.
 
karibu mwaya na maembe yako njoo huku nikuoneshe kwakuyaweka..
 
karibu mwaya na maembe yako njoo huku nikuoneshe kwakuyaweka..
we Gozo dah ukaribisho wako ndo nimeupenda zaidi kuliko wa watu wote
 
dah sasa hiyo ndo kula gani,halafu mbona hujalog off
Sisi tunataka maembe tu kibao hatukitaki,ndio maana nikakuambia kwa kuwa kwetu hakuna kiti/mkeka/jamvi basi utakalia katika hiko kibao ulichokuja nacho.Nalog off
 
Sisi tunataka maembe tu kibao hatukitaki,ndio maana nikakuambia kwa kuwa kwetu hakuna kiti/mkeka/jamvi basi utakalia katika hiko kibao ulichokuja nacho.Nalog off
basi tutakula tukiwa tumesimama
 
Inaonekana we wakibada nini mbona umekuja na maembe..
 
we Gozo dah ukaribisho wako ndo nimeupenda zaidi kuliko wa watu wote

usijali kwetu pwani hivo ndio tunavokaribisha wageni hasa wenye majina ya kidhungu kama wewe..karibu mwaya..
 
usijali kwetu pwani hivo ndio tunavokaribisha wageni hasa wenye majina ya kidhungu kama wewe..karibu mwaya..
ahsante,ila hiyo avatar yako ulipata kiss lini mara ya mwisho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom