mwenzenu leo nimejiunga

mwenzenu leo nimejiunga

KARIBU SANA! JiSIKIE UPO KAMA FACEBOOK BUT HUMU SIASA NYINGI.
 
ahsante,ila hiyo avatar yako ulipata kiss lini mara ya mwisho

leo niliposkliza ule wimbo wa wapambe msitujadili wa Issa Kijoti..kuna sehemu anasema mchumu mchumu mmmwaaaaaah mchumu tena mchumu mchumu mmmwaaaaah..
 
dah basi hayo mapengo sipati picha mchumu mchumu mwaaaaaaaaaaah
 
Alafu wewe kaka mgeni ni handsome boy.... basi mimi ugonjwa wangu uko kwa ma-handsome kama wewe , hapa niko hoi bin taaban hata nimeshindwa kutoa ukaribisho nimebakia kukodolea hzo dread zako!!! Karibu mwaya pita sebuleni hadi huku chumbani, jiskie uko nyumbani kwako!!
 
dah hata mi nimeshakuhisi we ni beautiful girl,hapa nipo hoi,tabasamu lako tu mpaka natamani kukuhug
 
Kweli eeeh, ningekuruhusu hug lakin kule nimekuona umemuita kabakaba na kumpatia offer..........mh naogopa, imebidi niuzuie moyo wangu hata kama uko hoi bin taaban,
 
sijakuona mapema,nitaikanusha kauli yangu na pale nimeona kabakabana ana mme wake,ila mi kwako tu bin taaban,nihurumie mwenzio
 
Labda ukaifute ile kauli kule ndo urudi hapa kwangu ntakuruhusu uni hug....., la sivyo ntakusemea kwa mods....
 
unanionea jamani,mbona unautesa moyo wangu hivo,naomba usinisemee kwa mods,kabakana yeye mbona alishanikana na kuniambia
amempa mmewe 100% so najisumbua...ila we ni kila kitu kwangu
 
Mbona hueleweki, mara ya kwanza umeomba uni hug, sasa unadai mimi ni kila kitu kwako....mhhhh!!! oukeeey, utaniweza lakini??uko tayari kupendwa na kupenda????
 
hayo yote naweza,tena ukinipenda ndo nitafurahi sana mana mi nimeshakupenda kupita kiasi
 
Sasa dia, Uko tayari kutuma nauli nije kukusalimia...kuna mwenzako alilalamika hapa alituma nauli mhusika hakwenda sehemu ya tukio....., pia ATM card yako ni muhimu niimiliki, hati za nyumba, kadi za magari yako itabidi uviripotishe ndo mazungumzo yaendelee mpnz, vp hapo???
 
nitakuja kukuchukua jamani usijali,kuhusu gari na atm bado naumiza kichwa dia,ila usijali kabisa
 
Nimekuona bado unasita kwenye njia mbili, ukiamua kushika moja...unakaribishwa kama bado mlango utakuwa haujafungwa
 
khaa kwako nimeshapenda jamani,siwezi kuwa njia mbili nimeshakupenda mazima
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom