Mwenzenu kila siku mpaka nipate ndo nalala!

Baba Matatizo

JF-Expert Member
May 5, 2011
334
64
Asante sana wana JF.Naomba msaada,mwenzenu kila siku lazima nifanye mapenz ndio najisikia vizuri,hii inatokana na nini?Na zipi athar zake kiafya?Mama watoto wangu ni mvumilivu lakini nahisi ipo siku atachoka kuvumilia.Ninapomkosa huwa napiga PUNYETO mpaka bao 2 kwa siku ili kuondoa nyege.NAOMBENI USHAURI MADAKTARI KWANI HATA MIMI SIPENDI HII HALI IENDELEE.naona aibu kila siku!Naomba ushauri!
Nawasilisha mada!
 
Jihusishe na kazi za sulubu baada ya kazi km kufanya mazoezi ya viungo ya kutosha.
 
Nyie vijana vipi, ukiwa rijali unalalamika jogoo asipowika unakimbilia kwa waganga wa kienyeji.... ungekuwa unaenda kwa machangudoa ndio ningekushauri lakini kwakuwa ni kwa mke wako.... endelea kuburudika bila wasiwasi na wala mkeo hatochoka labda wewe ndo uanze kwenda nje!!
 
Jihusishe na kazi za sulubu baada ya kazi km kufanya mazoezi ya viungo ya kutosha.

Mkuu mbona mimi nikifanya mazoezi (tena ya kunichosha hasa) hali ndiyo inakuwa mbaya zaidi?
 
Nyie vijana vipi, ukiwa rijali unalalamika jogoo asipowika unakimbilia kwa waganga wa kienyeji.... ungekuwa unaenda kwa machangudoa ndio ningekushauri lakini kwakuwa ni kwa mke wako.... endelea kuburudika bila wasiwasi na wala mkeo hatochoka labda wewe ndo uanze kwenda nje!!
Sawa lakini some time nachoka sana!LAKINI WE ACHA TU!
 
raha jipe mwenyewe kabla hazijaja siku zilizo mbaya mbapo utaomba mtalimbo usimame nao utalala dolo
 
<p>ndugu,una addiction ya sex.unahitaji ushauri nasaha.hii haina tofauti na mtu ambaye hawezi kulala bila kunywa kahawa, pombe,kuvuta madawa ya kulevya ama bhangi.kama ni muamini,nenda kwenye maombi utasaidiwa.tatizo kubwa ni kuwa sio unamtamani mkeo,unatamani sex tu ndo maana unafanya punyeto.ungekuwa unamtamani mkeo,pale ambapo haiwezekani kuhusiana kwa sababu yoyote moyo ungetulia na ukalala.in no time utaanza kutoka nje ya ndoa na hata kununua ngono</p>
<p>&lt;p&gt;
Asante sana wana JF.Naomba msaada,mwenzenu kila siku lazima nifanye mapenz ndio najisikia vizuri,hii inatokana na nini?Na zipi athar zake kiafya?Mama watoto wangu ni mvumilivu lakini nahisi ipo siku atachoka kuvumilia.Ninapomkosa huwa napiga PUNYETO mpaka bao 2 kwa siku ili kuondoa nyege.NAOMBENI USHAURI MADAKTARI KWANI HATA MIMI SIPENDI HII HALI IENDELEE.naona aibu kila siku!Naomba ushauri!&lt;/p&gt;</p>
<p>&lt;p&gt;Nawasilisha mada!
&lt;/p&gt;</p>
<p>&lt;p&gt;&amp;nbsp;&lt;/p&gt;</p>
 
Angalia mkuu usije uka mshindisha mkeo na kanga bila kufuli ili uweze kula mzigo wakati wowote mi nakushauri fanya mazozi mazito kabla hujalala.Hii itasaidi kuondoa mawazo na itazidisha uchovu.
 
duuuuh mkuu we ni noma mazee.. yani daily we unadinya?

mmmh hivi kuna vitu vingine unafikiriaga kweli?:bange:
 
Mimi sioni suluhisho zaidi ya kujishughulisha na zaidi fanya mazoezi kwa sana!
 
Naomba kujua una umri gani,umeoa lini,una watoto wangapi,huwa unakula mlo gani na unafanya shughuli gani.mkeo ana umri gani na anfanya kazi gani
 
Tatizo lako haliko kwenye mwili bali lipo kwenye ubongo,wewe unatumia muda mwingi kuwaza ngono ndiyo sababu inakua hivyo,hiyo nikujiedekeza kama vile mvuta sigara asipo pata halali usingizi!. Ngono ipo kwenye mawazo yako zaidi kuliko kazi zako,
Fanya Mazoezi ya kutosha kila siku,muda mwingi waza shughuli zako unazofanya kila siku hali hiyo itaisha kabisa,hakuna dawa ya moja kwa moja,dawa unayo mwenyewe.


"Uliwazalo mara kwa mara mwishowe hukutokea"!
 
Back
Top Bottom