Wala usimuangushe na usije kushangaa kama ataamua kukupa promotion kubwa tu.
YouTube - Taarab: Sabah al kheir--
Kwa uelewa wangu mgumba ni mwanamke asiyekuwa na uwezo wa kuzaa. Hapo alipo mwenzangu yule hana tena uwezo wa kuzaa kwa hiyo ni mgumba. Na huo ugumba kajitengenezea mwenyewe kwa makusudi ati kwamba wawili alionao wanatosha basi mwenzangu akaenda kwenye huo utaalamu wa kujiharibu kizazi kwa hiyo sasa hivi hata angetaka ni hazai tena, sasa sio mgumba ni kitu gani. Nami namwambia kama hazai basi mwenzie nazaa, avute subra inshaallah wanawe watampata mdogo wao.
Thanks Ledwin. Yaani Binadamu sisi ni very strange beings. Hivi huwa tunajaribu kutafuta justification for improper behaviour (amoral). Halafu ambapo nasikitika ni character bashing au personal vendetta.
Her degrees, her whatever - she is the legal and lawful wife period. Atleast that should be respected.
Its quite easy to score with a married man or woman, lakini score with a single available man or woman then be proud of that...
unajua mpo wangapi? akisema yupo kwa mkewe unauhakika anakuwa huko au anakuwa kwa mwingine kama wewe?Hata uje na viingereza vya wapi habari ndiyo hiyo
unajua mpo wangapi? akisema yupo kwa mkewe unauhakika anakuwa huko au anakuwa kwa mwingine kama wewe?
Da sophy mi kwako najifunza maneno tu!
unajua mpo wangapi? akisema yupo kwa mkewe unauhakika anakuwa huko au anakuwa kwa mwingine kama wewe?
Kichwa chenyewe kipo disturbed tayari!!Da Sophy haya maswali hayamsumbui sana kichwa chake :smilez:
Da Sophy haya maswali hayamsumbui sana kichwa chake :smilez:
Wala usimuangushe na usije kushangaa kama ataamua kukupa promotion kubwa tu.
YouTube - Taarab: Sabah al kheir--
Da Sophy, I'm diggin' your gusto in being a jump off......that's what's up!
Duh..kumbe mambo ya kutumia "ndumu" ni kitendawili cha kale sana kwa wengi...unaachije wazi wazi mzigo kwa mtu mwenye familia yake mpaka mimba!!!!, salalaaaaa!! khaha...
YouTube - Kosa la marehemu (remix)_Uswahilini Matola
MHHHH!!
Haya naona Da Sophy washauri kapata safari hii!
sasa tukitumia hizo ndumu unazosema uzazi utapatikana wapi? Mimi pia ni sehemu ya familia yake kwa hiyo unaposema mwenye familia umeshanihesabu humo tayari.
BHT hapa kuna cha mda kweli...hii ni nonstop...hapo nimekusoma
hivi da sophy, sasa inakuwaje jamaa akitaka kwenda kwa mkewe wa makaratasi? (wa ndoa) unampa muda au inakuwaje?
BHT hapa kuna cha mda kweli...hii ni nonstop...
Labda jamaa ajiibe ili angalau apite home kuwajulia hali...then fasta kwa da sophy...
Akikosa wa kumwoa afanyaje Fab??? Surely she can't 'fast' forever..mnh wakina da sophy wote washindwe.ndio nyie mnasambaratisha familia za watu,afu mnaona ni ufahari.muone na majibu yake utajua ni mjeuri.sio ujanja kubomoa familia ya mtu.wanaume wapo kibao kama unataka mtoto kwa nini usijilengeshe kwa hao wako single?