Mimi mwenyewe nalala mkuu hata mziki uwe mkubwa.Kuna cousin yangu huyo tulikwenda club nilimuacha kwenye dance floor kwenda kuchukuwa bia. Narudi namuona kalala kwenye speaker na makelele yote yale aiseee huyu jamaa akipata upepo tu [emoji42][emoji42].
Kabila zako:-
A = Mhindi
B = Muarabu
C = Mchagga
Nangatukaa[emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Mi naishi kivyangu ila ninalo hilo tatizo,nkilaza kichwa tu ndo basi..Natoa mkuu ila atataka stori ziendelee walau nusu saa kisha tulale.
Bahati mbaya/nzuri napitiwa. Wewe tatizo halikutokei kwa hubby wako?
Kivyako ukiwa na maana unaishi mwenyewe.
Pole tafuta mwenza uone raha ya kuwepo duniani mkuu.
sasa hvi utalalaSijajua gharama za uendeshaji mkuu. Unautalaamu wa kutosha kwenye hili tusaidiane baba swalehe?
Mkuu huyu cousin yangu sijui kama unampata huyu jamaa akila analala, wakati wa sala analala tunacheza mpira yeye huwa kipa analala aisee. Siku ya harusi yake tulikuwa na maji ya chupa akifumba macho tu maji ya uso.π€£π€£Mimi mwenyewe nalala mkuu hata mziki uwe mkubwa.
Kuna siku tulikuwa na part kwa jirani nikaalikwa watu wanacheza ukumbini mimi nipo chumba cha jirani nimelala.
Sipo kwenye makabila tajwa.
Nyie ndo wazurMi naishi kivyangu ila ninalo hilo tatizo,nkilaza kichwa tu ndo basi..
Wewe ke au me?Ntafutie
Usintafute ubaya toziWewe ke au me?
Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Ni kibonge?Mkuu huyu cousin yangu sijui kama unampata huyu jamaa akila analala, wakati wa sala analala tunacheza mpira yeye huwa kipa analala aisee. Siku ya harusi yake tulikuwa na maji ya chupa akifumba macho tu maji ya uso.[emoji1787][emoji1787]
Nangatukaa [emoji2089][emoji2089][emoji2089]