Khaaa me nilijua ni mkaka eti loloh sorry for her, i didn't know, but ujumbe hauna jinsia ni kwa pande zote ke na me, but a "nuclear bomb chick" this look bit weird
huyu ni dada mbona
mi nilivyosoma nikaona yeye mfupi mwenzie mrefu nikasema ngoja nikamchungulie kumbe mdada.. sababu angekuwa mkaka hiyo ilikuwa factor mojawapo ya mwenzie kutokuwa happy naeKhaaa me nilijua ni mkaka eti lol
mdada huyuBora tu ungemsamehe yule wa kwanza mkuu, kusalitiwa mara moja unamuacha haya huyo ulyemuoa hujui katembea na watu wangap sometime msammaha huwa unahusika.
wonders will never ceaseKhaaa me nilijua ni mkaka eti lol
Yule ambaye alkuw wa kwanza na alkuwa na vigezo kwake.mdada huyu
labdaYule ambaye alkuw wa kwanza na alkuwa na vigezo kwake.
Me pamenichanganya pa kusema akitaka kumuacha analia sijui na kutishia kunywa sumu. Nikasema mambo ya wadada hayami nilivyosoma nikaona yeye mfupi mwenzie mrefu nikasema ngoja nikamchungulie kumbe mdada.. sababu angekuwa mkaka hiyo ilikuwa factor mojawapo ya mwenzie kutokuwa happy nae
hata jina lenyewe mmh kwa binti hapana ... sema wameshamshauri kidume ageuze kiwe kijike jikeMe pamenichanganya pa kusema akitaka kumuacha analia sijui na kutishia kunywa sumu. Nikasema mambo ya wadada haya
But again akasema akiwa home, Akifanya biashara anampa hela kiasi chochote anachotaka. Nikasema mwanaume ndo anaprovide. Basi mvurugano wa jinsia tu haha
Kwamawazo yang angemsamehe ili awe na furaha yake japo mm cwez fanya hvyo.Yule ambaye alkuw wa kwanza na alkuwa na vigezo kwake.
Uko sawa, Ahsante kwa michango yenu wakuu naendelea kujifunza.huyu ni dada mbona
Ngumu kumeza ingawa yeye miaka mitatu nyuma ndo kaacha kunifatilia hadi katafuta jina la mtoto wangu nae akamwita mtoto wake jina hilo hilo. Wadogo zangu alikuwa anampa vijisenti ikawa anampa habari zangu nikagundua niamkanya nikabadili namba.Kwamawazo yang angemsamehe ili awe na furaha yake japo mm cwez fanya hvyo.
NUCLEAR BOMB
JF-Expert Member
Female
Profile Page Start a Conversation Follow Ignore
Member Since:
Jan 23, 2017
Messages:
205
Likes Received:
171
Trophy Points:
60
Liked:
267
NUCLEAR BOMB was last seen:
Today at 12:58 PM
Kumbe siko mwenyewe kwenye mvurugano wa jinsia ya mleta mada eehMe pamenichanganya pa kusema akitaka kumuacha analia sijui na kutishia kunywa sumu. Nikasema mambo ya wadada haya
But again akasema akiwa home, Akifanya biashara anampa hela kiasi chochote anachotaka. Nikasema mwanaume ndo anaprovide. Basi mvurugano wa jinsia tu haha
Then yupo makini huyo, post yake haijaweka wazi jinsia zao hata mara moja. Nikaingia chaka lolKumbe siko mwenyewe kwenye mvurugano wa jinsia ya mleta mada eeh
Nimejiuliza mara mbili mbili female si mwanamke? Nikasema labda mi ndo nimekosea bana na hii lugha ya watu lol
usijali karibu tenaHahahaaaaaa Miss Chaga unanifanya nicheke mbona mi nishakwambia yes ni ke. Uko makini mkuu respect.