Mwenza wa ndoto yako

Mwenza wa ndoto yako

Mtoa mada hata wewe hajielewi unataka nini, na mawasiliano yenu mabovu umeyatengeneza mwenyewe na umekiri hata kwa watu wengine huna mawasiliano mazuri. Suluhisho boresha mawasiliano yako na mume jipendekeze, onesha kumjali na kumhitaji kila kitu kitakwenda sawia. Ukiachana nae hata huko uendako unaweza usiipate hiyo first love, unaweza tamani hata kumrudia huyo na ikawa too late
 
Niliwahi kuwa na uhusiano na binti fulani, akahama mkoa niliokuepo uhusiano ukafifia, nimekutana naye mwaka huu, sasa hivi ameolewa na ana watoto na wamerudi mkoa huu huu.
Lakini kilichopo kwenye ndoa yako mleta uzi ndiyo anachonihadithia mdada, akaniambia kwamba idadi nilizosex naye mimi katika uhusiano wetu wa mwaka 1 ni nyingi kushinda miaka 4 aliyoishi na jamaa.

Hakuna chemistry, hataki kusex na jamaa na hata wakisex haenjoy.

Tukaamua tukutane tukumbushie enzi. Kwa kawaida Hua ninaamini utakachomfanyia mwenzako na wewe baadaye kitakuhusu, lakini hayo yote nikasahau.

Juzi nimeingia JF nakuta mtu kapitishwa nondo kwenye kende ikafika hadi kifuani, hata sikusoma maelezo nikahisi huyu kafumaniwa.

Nikarudi kwa mwenzangu nikamuuliza upo sure na hiki kitu baada ya kujifikiria jana akaniambia haiwezekani yeye ni mke wa mtu, nikamwambia safi sasa tuendeleze urafiki.
Mkuu castr kumbe vitizi vyako vyote vile..

Huwa unatafuta pumzi ya kutafuna wake za Watu?
 
Habarini za usiku wakuu.

Wakati wa Ujana kuna zile ndoto huwa tunakuwa nazo juu ya wenza tunaotaka kuwa nao maishani iwe kwa Msichana au Mvulana.

Lakini katika Safari hiyo ndefu ya kuelekea ukubwani tunapitia changamoto nyingi ambazo kwa namna moja au nyingine huzima ndoto zetu na kujikuta tunaingia katika mahusiano na watu ambao siyo wa mioyo yetu kwa kurubuniwa na mazingira mbalimbali.

Binafsi nilitaraji kupata mwenza mchangamfu, rafiki, anayenifanya nitabasamu muda wote, anayejua nafasi yake katika familia, anayejua nimekula nini au nafanya nini yaani kifupi mtu anayajali na kutengeneza mahusiano rafiki, muwazi wa hisia na mjasiri. Kuhusu muonekano hapo naweka kapuni.

Wakati fulani katika maisha nilipata wa hivyo tunaefanana tabia tukafurahia mahusiano hadi ndugu na marafiki zetu walitupenda na tulikuwa na furaha tele kila mtu alipendwa kwa mwenzake coz hata muonekano wetu tulikuwa tunaendana sote majiyakunde yeye mrefu mi mfupi. Maisha yakabadilika kutokana na umbali akanisaliti kwa mtu wa jirani yetu sikuweza kusamehe nikajitenga nae ingawa aliniomba sana nimsamehe lakini moyo ulikataa na nikausikiliza. Akawa kama mwehu alitangatanga na wapenzi wa kila rika mi nilitulia kwa vile sipendi tabia ya kubadilisha wapenzi nilijipa muda isitoshe nilikuwa mbali nae.

Baada ya mwaka kupita nikaona nipate wangu cha ajabu macho yakakataa kuona wengi nikaona mmoja akajionesha kama ana utu ila alikuwa tofauti na vigezo vyangu nilimweka wazi kwamba hanivutii akanimbia naweza kujifunza kupenda sikumpa jibu akaniseduce vya kutosha ikabidi nifungue moyo. Cha ajabu tangu ndoa day one hadi leo zaidi ya miaka saba sijawahi kuwa na furaha nae.
Kila mtu kivyake tukutane kitandani furaha kwa nadra na wala sichepuki akisafiri anaweza wapigia simu wengine ila mi hata akae miezi mitatu hapigi simu na wala simpigii au kumlaumu kwani hata akinipigia sauti yake hainisisimui hivyo nachukia , kukiwa na lolote namtumia text mesage akijisikia atajibu. Hata akiwa online WhatsApp hatuwezi kuchati nae hata nikimtumia sms hajibu hadi siku akirudi ndo tuonane. Imekuwa ndiyo mfumo wa maisha yetu na Kuzima ndoto ya Maisha ya furaha niliyokuwa nayo na niliyolelewa.

Mara nyingi napenda kukaa peke yangu sipendi kelele na hata sipendi kupiga simu ndugu na marafiki wananilaumu, sipendi kwenda kwenye starehe na nikienda nailazimisha tu furaha. Ingawa kila kitu changu kinaenda sawa.

Hivyo leo nikapenda nipate kujua kama nyie wenzangu mlifanikiwa kupata Wenza wa ndoto zenu au wa Mioyo yenu? Kama ndiyo hongera na Kama siyo umewezaje kuishi na huyo ulonaye kwa Sasa? Karibu tupeane uzoefu.

Doh pole sanaa hiyo ndoa ndoana!? Binafsi maisha ya hivo nisingeweza.
 
Mmmh kweli hawala Hana talaka"
 
relato njoo ndugu waweza kuwa na maoni tofauti. Maana wewe unakuwa na mawazo tofauti na Mimi,na una kanguvu Ka ushawishi na kushauri.
 
Mkuu castr kumbe vitizi vyako vyote vile..

Huwa unatafuta pumzi ya kutafuna wake za Watu?
[emoji19] [emoji19] [emoji19] [emoji53]

Sijawahi kutafuna mpenzi wa mtu. Note hapo kwamba hata mpenzi wa mtu sijawahi kutafuna.

Huyu mdada ndiyo angekua wa kwanza.

Na ukiachilia vitizi au nini mimi pia ni kama wanaume wengine wengi, natamani, napursue, napima uzito wa maamuzi, namiss kusex n.k. vitizi havinifanyi mimi niwe tofauti au kuwazidi wanaume wengine.
 
Habarini za usiku wakuu.

Wakati wa Ujana kuna zile ndoto huwa tunakuwa nazo juu ya wenza tunaotaka kuwa nao maishani iwe kwa Msichana au Mvulana.

Lakini katika Safari hiyo ndefu ya kuelekea ukubwani tunapitia changamoto nyingi ambazo kwa namna moja au nyingine huzima ndoto zetu na kujikuta tunaingia katika mahusiano na watu ambao siyo wa mioyo yetu kwa kurubuniwa na mazingira mbalimbali.

Binafsi nilitaraji kupata mwenza mchangamfu, rafiki, anayenifanya nitabasamu muda wote, anayejua nafasi yake katika familia, anayejua nimekula nini au nafanya nini yaani kifupi mtu anayajali na kutengeneza mahusiano rafiki, muwazi wa hisia na mjasiri. Kuhusu muonekano hapo naweka kapuni.

Wakati fulani katika maisha nilipata wa hivyo tunaefanana tabia tukafurahia mahusiano hadi ndugu na marafiki zetu walitupenda na tulikuwa na furaha tele kila mtu alipendwa kwa mwenzake coz hata muonekano wetu tulikuwa tunaendana sote majiyakunde yeye mrefu mi mfupi. Maisha yakabadilika kutokana na umbali akanisaliti kwa mtu wa jirani yetu sikuweza kusamehe nikajitenga nae ingawa aliniomba sana nimsamehe lakini moyo ulikataa na nikausikiliza. Akawa kama mwehu alitangatanga na wapenzi wa kila rika mi nilitulia kwa vile sipendi tabia ya kubadilisha wapenzi nilijipa muda isitoshe nilikuwa mbali nae.

Baada ya mwaka kupita nikaona nipate wangu cha ajabu macho yakakataa kuona wengi nikaona mmoja akajionesha kama ana utu ila alikuwa tofauti na vigezo vyangu nilimweka wazi kwamba hanivutii akanimbia naweza kujifunza kupenda sikumpa jibu akaniseduce vya kutosha ikabidi nifungue moyo. Cha ajabu tangu ndoa day one hadi leo zaidi ya miaka saba sijawahi kuwa na furaha nae.
Kila mtu kivyake tukutane kitandani furaha kwa nadra na wala sichepuki akisafiri anaweza wapigia simu wengine ila mi hata akae miezi mitatu hapigi simu na wala simpigii au kumlaumu kwani hata akinipigia sauti yake hainisisimui hivyo nachukia , kukiwa na lolote namtumia text mesage akijisikia atajibu. Hata akiwa online WhatsApp hatuwezi kuchati nae hata nikimtumia sms hajibu hadi siku akirudi ndo tuonane. Imekuwa ndiyo mfumo wa maisha yetu na Kuzima ndoto ya Maisha ya furaha niliyokuwa nayo na niliyolelewa.

Mara nyingi napenda kukaa peke yangu sipendi kelele na hata sipendi kupiga simu ndugu na marafiki wananilaumu, sipendi kwenda kwenye starehe na nikienda nailazimisha tu furaha. Ingawa kila kitu changu kinaenda sawa.

Hivyo leo nikapenda nipate kujua kama nyie wenzangu mlifanikiwa kupata Wenza wa ndoto zenu au wa Mioyo yenu? Kama ndiyo hongera na Kama siyo umewezaje kuishi na huyo ulonaye kwa Sasa? Karibu tupeane uzoefu.

Kuna info zina miss hapa to make full observation and advise. something is missing . We dont have all facts
 
Ila ni kazi sana kupata mke miaka hii.
Yani me napata shida sn na naelekea kukata tamaa.
 
Usiji commit kwenye ndoa km mtu haumpendi,hio inatesa sana wanandoa wengi,sio ww tu!..watu walioana kwa sababu ya vitu,presha toka kwa watu na n.k. Saiv zinawatesa
 
Kama for 7 years upendo umeshindwa kujengeka, sidhani kama kujaribu zaidi itasaidia. Sasa hivi kwa anavoelezea inaonekana wanaishi kwa mazoea tu

Wapeane talaka, it's the most logical solution. Watu wanaweza wakapinga au kusema they should try harder, ila it's obvious there is nothing there. Watakuwa wanajilazimisha tu, and it won't be genuine. At most they'll just end up miserable if they aren't already
Hili ndilo jibu mtoa mada
 
Kitu nilichojifunza ni kwamba mara nyingi mwanaume asipokupenda ni hatokupenda milele, sio Ndoa wala watoto watakaomfanya akupende. Mwanaume hana cha kujifunza kupenda kama wanawake wengi tulivyo. Ukiona mwanaume hakupendi na hamjafunga ndoa, please muache tu aende. Hakuna kitu kibaya kama kufunga ndoa na mtu who can't love and appreciates you. Wanawake wengi ndo wanaishiaga kuwa na vichaa vya ndoa, maana ataanza na kuwa insecure, muda wote atahisi kuna mtu huko nje anayekuzuzua, hata kama hayupo, ugomvi hautoisha. Hakuna adhabu mbaya kama kuishi na mtu asiyekuappreciate.
 
Uko sawa mkuu,
Halafu kuna ile kabla ya ndoa mchumba anataka kujionyesha kwa kila mtu kwamba yuko nawe na anakupenda na atakufata kila ulipo. Hivyo baada ya miezi kadhaa marafiki na jamii inamtambua.
Nao wanaanza upambe hivyo hata kama humpendi kuna ile kumuonea aibu ukimuacha jamii itakuelewaje naye kesha jiwahi huko na kama kuna ile roho ya uungwana kidogo kuna ile kumfikiria ataichukuliaje hiyo hali ya kuachwa. Hivyo inabidi tu kumfichia heshima kwa Mungu na jamii. Ndicho kilichonikumba na kunifikisha katika hali hii kwani hakuna ambaye angeweza kunielewa kwamba moyo wangu umekataa kabisa kumpokea naye alijipa matumaini iko siku nitampenda lkn bado haijafika hiyo siku.
 
Back
Top Bottom