Mwenza kilaza.

Ukioa wa hivyo nyie zaeni ulitaka mjadili nini vitu common atakuwa anajua kama usafi na kupika!
 
Eti lile bwege nimecheka sana ila sijaelewa muhuni anaua familia kwa sababu ya hizi nyumba au magari ambayo ukiamua kusota tena unapata...
 
Ila kwenye mapenzi kweli inaboa sana Mimi kuna demu nilikuwa naye sio kilaza ila ana kula kinyama mpaka anaboa yaani demu anakula sahani tatu za wali ule ni ugonjwa asee mpaka Mimi nikamchukia sasa
Bora wewe, Mimi kuna demu nilikuwa naye, yaani akiwa mgonjwa anakata sahani tatu za wali, sasa jiulize akiwa timamu kiafya huwa anakula sahani ngapi.

Oya, ni ngori!
 
Hii comment ilitakiwa iwe uzi sasa..!!

Nimecheka sana 😹😹😹
 
Binafsi naona hata ukiacha kabisa kutumi JF inaweza kua vizuri zaidi, licha ya kua ulijiunga kwa hiyari yako mwenyewe na nafikiri kujiondoa wewe mwenye bila mayowe inaweza kua jambo la busara zaidi, ili hatimae wadau wapya wa JF wasikutane na watu wa aina yako, wakujipiga kifua, na kujipa uerevu, utakatifu na ukamilifu kuliko binadamu wengine mpaka kwenye mahusiano yako.

In fact,
kwenye mahusiano imara na yenye furaha, kila moja anapaswa kukubali kubeba mapungufu na madhaifu ya kibinadamu ya mwenza wake na kuyasitiri kadiri iwezekanavyo.

Kujipa ukamilifu, utakatifu na uerevu zaidi ya mwenza wako ni kukaribisha mafarakano na pengine maafaa kwenye mahusiano au ndoa. Na sense of perfections kwenye mahusiano ni kitu nonsense sana aise.

Biblia imeandika Ishi nao kwa akili.
Ni wazi wewe umekosa maarifa ya kuishi katika mahususino yako na umeshindwa kutumia akili vizuri katika kuishi na mwenzi wako na badala yake unakuja kujiexpose jukwaani tena kwa uthibitisho kabisa kwamba wewe ndio changamoto na kilaza zaidi kwenye mahusiano yako, kwasababu umeshindwa kutumia akili kuishi na mwenzi wako. Umejipa utakatifu na ukamilifu useless kabisa kwenye mahususi na kuyatumbukiza kaburini kindezi sana aise.

Hata hivyo,
humu jukwaani ni mashuhuda kwamba,
wakati mwingine, wewe ni mtukanaji hodari na mporomosha matusi mkuu dhidi ya wenye maoni na mtazamo tofauti na wako. Kwa hali hiyo, ni wazi, hutaweza kuishi na mtu mwenye jinsia tofauti na yako. Maana yake hata ukianzisha mahusiano mengine, hawatadumu yatavunjika kwasababu ni wazi wewe ni addicts wa sense of perfections, kitu ambacho ni sumu kwenye mahusiano yoyote yale.

Labda ufanyiwe mpango na walioficha familia zao ng'ambo ili hatimae ukaanzishe familia kama zao huko ng'ambo 🐒
 
Boyfriend wa Samia, yule kibonge wa Zimbabwe, amezikwa bila kichwa chake.

Kati ya Samuya na Wicknell nani kilaza?
 
Kilaza mwenye confidence 😹
Hapo lazima uteme bungo..!!
 
Nilikuwa na mpenzi kilaza. Yeye kila kitu kinachofanywa na watu wengi anakiona sahihi na lazima akiige.

Siku Moja aliona mtu kambeba mgongoni mpenzi wake hadharani naye akawa anataka nimbebe, huku akiniambia bila kufanya hivyo nitakuwa simpendi. Nilimfukuza siku hiyo hiyo!
 
 

Attachments

  • downloadfile.jpg
    22.4 KB · Views: 3
Boyfriend wa Samia, yule kibonge wa Zimbabwe, amezikwa bila kichwa chake.

Kati ya Samuya na Wicknell nani kilaza?
angalia sasa,
kwa majibu kama haya maana yake ni wazi una weak imotional stability lakini pia ni completely addicts wa sense of perfections.

hakuna binti utadumu nae kwenye mahusiano ukiwa kwenye saikolojikali mbovu namna hiyo gentleman, utaendelea na tabia hiyo mbaya ya kuwatuhumi kwamba wao ni vilaza kumbe kilaza na changamoto kubwa ni wewe ulieshindwa kutumia akili kuishi nao vizuri kadiri ya maandiko.

work hard at removing that sense of perfections gentleman 🐒
 
Ukanda ule wa kwetu hawa wamejaa wapo wengi hasa wanaume, yaani mtu alichokaririshwa utotoni hataki kukiachia wala kubadilika, kwakweli ni mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…