Mwenyekiti wetu Erickb52 uko wapi?

Hili sasa ni tishio "rasmi" la kudhuru mwili na roho..... Naangalia haraka sana hatua muafaka za kuchukua ikiwezekana hata The Hague tutafika. Huu ni ukatili dhidi ya member mwenzio

umeona eeh mkti! hatar sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…