Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

Antar bin Shaddad

JF-Expert Member
Oct 11, 2010
202
101
Mwenyekiti wa UV-CCM Taifa Sadifa JUma leo mjini Arusha amewatoa hofu wfuasi wa msaka urais EL kuwa hakuna mgombea atakaye katwa jina "kijinga". amesema yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama EL akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua EL ni wajinga na wapumbavu.

Kauli hiyo ya Sadifa imewafurahisha sana wafuasi wa EL hasa mwenyekiti wa mkoa wa Arusha Onesmo Nangole.

Sadifa alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya makumbusho ya azimio la arusha wakati wa kumsimika kamanda wa vijana wilaya ya arumeru Mathias Manga.
 
Mkuu mleta mada tunashukuru kwa taarifa, ila sidhani kama alitaja jina, naomba uweke rekodi sahihi.....
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Mwenyekiti wa UV-CCM Taifa Sadifa JUma leo mjini Arusha amewatoa hofu wfuasi wa msaka urais EL kuwa hakuna mgombea atakaye katwa jina "kijinga". amesema yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama EL akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua EL ni wajinga na wapumbavu.

Kauli hiyo ya Sadifa imewafurahisha sana wafuasi wa EL hasa mwenyekiti wa mkoa wa Arusha Onesmo Nangole.

Sadifa alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya makumbusho ya azimio la arusha wakati wa kumsimika kamanda wa vijana wilaya ya arumeru Mathias Manga.
Hayo nso matarajio ya watanzania,kila kona wanaimba Lowassa watu wabiahe lakini ukweli jamaa sijui ana mini hakya nano nimpita chuo cha mtakatifu Aguatino mpaka nimeogopa kila kundibla wana chuo hivi ccm ubishi wa mini hamyajui haya?
 
Mungu mlinde mja wako Edward Lowassa,umlinde dhidi ya maasidi na wenye roho za ukatili.
Kwani ni wewe ndie uliepanga awe rais wa JMT 2015.

Wote semeni "AMEN"

Na Mungu amlinde na wale waliofanya kikao jana Sourthen Sun ili kuumua....
 
Back
Top Bottom