Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

Jambazi lazima likatwe jina halifai kuongoza Tanzania lina nuka rushwa halina haya! Ikulu ni mhali patakatifu
 
Uvccm mwenyekiti ndo yule baunsa makonda
 
Jambazi lazima likatwe jina halifai kuongoza Tanzania lina nuka rushwa halina haya! Ikulu ni mhali patakatifu

Ndio mnavyojidanganya,hatutoruhusu DHULUMA YA PILI kwa kiongozi wetu shupavu.Richmond tulikubali kwa shingo upande tukaruhusu mwanaharamu apite.Sasa hivi PATACHIMBIKA.HAKATWI MTU HAPA
 
Mungu mlinzi wako Edward Lowassa,umlinde dhidi ya maasidi na wenye roho za ukatili.
Kwani ni wewe ndie uliepanga awe rais wa JMT 2015.

Wote semeni "AMEN"
Mungu halindi mafisadi
 
Ndio mnavyojidanganya,hatutoruhusu DHULUMA YA PILI kwa kiongozi wetu shupavu.Richmond tulikubali kwa shingo upande tukaruhusu mwanaharamu apite.Sasa hivi PATACHIMBIKA.HAKATWI MTUQUOTE]Lowasa ana ndoto za kuwa raisi wa wapi labda raisi wa manzese
 
Hata mafarisayo na warumi walipomuua yesu waliweka jiwe kubwa kabutini wakajua kwisha kazi,lakini Haleluyah Bwana alifufuka siku ya tatu
 
Back
Top Bottom