Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

Mwenyekiti wa UVCCM Taifa: Lowassa hakatwi jina

Mnakula pesa za bure za huyu Lowasa mwenye ndoto za kuwa raisi wa manzese

Hats Kenya wakora wenzako kwa Uhuru walisema haya ,ombea adui yako aishi aiku nyingi ili ajionee miujiza ya Mungu naomba Mungu akulinde uje ukiri maneno yako ya kiibilisi
 
Umehongwa sh.ngapi kumtetea huyu mchafu mwenzako

Kama Ameweza kutuhonga wana St Auguatino wrote basis huyu no zaisi ya bilgate nso mnavojifariji,nenda panda daladala keaho uulize jamani 2015 mnadhani nano utaisoma namba
 
Hats Kenya wakora wenzako kwa Uhuru walisema haya ,ombea adui yako aishi aiku nyingi ili ajionee miujiza ya Mungu na Mungu akulinde uje ukiri maneno yako ya kiibilisi

Endeleeni kujazia maiti damu
 
Lowasa anahangaika bure afya yake ni mbovu anatakiwa kumpumzika sasa ikulu hakuna wodi ya wagonjwa kama Lowasa
 
Lowasa anahangaika bure afya yake ni mbovu anatakiwa kumpumzika sasa ikulu hakuna wodi ya wagonjwa kama Lowasa
Hahahahahhha umehama kwenye uchafu umekuja kwenyw afya,hahahahh,ndo mmekariri Richmond hahahha
 
Mwenyekiti wa UV-CCM Taifa Sadifa JUma leo mjini Arusha amewatoa hofu wfuasi wa msaka urais EL kuwa hakuna mgombea atakaye katwa jina "kijinga". amesema yeye ni mjumbe wa kamati kuu na hatakubali kuona mgombea mwenye sifa kama EL akikatwa jina kwasababu za kijinga na kwamba wote wanaomchafua EL ni wajinga na wapumbavu.

Kauli hiyo ya Sadifa imewafurahisha sana wafuasi wa EL hasa mwenyekiti wa mkoa wa Arusha Onesmo Nangole.

Sadifa alikuwa anahutubia mkutano wa hadhara katika viwanja vya makumbusho ya azimio la arusha wakati wa kumsimika kamanda wa vijana wilaya ya arumeru Mathias Manga.

Sadifa alikuwa anatafuta kushangiliwa tu, kamati kuu ya CCM kuna watu "wenye meno" haswaaa, Mamba ana nafuu! ambao waking'aka Sadifa ataufyata! Sadifa bado mchanga minyukano ya CCM haiwezi; akome kujitutumua atajaumbuka! CCM ina wenyewe; sio Sadifa, siasa za bara sio lambalamba Kama Zenj, ya Ngoswe amwachie Ngoswe (EL) mwenyewe.
 
Lowasa ukija upepo mkali unaweza kwenda naye hana nguvu kabisa
 
Back
Top Bottom