Mwenyekiti wa UVCCM Tabora ahamia CHADEMA!

akhsante Mwenyezi MUNGU kwa kumleta doctor kikwete kwa kuja kupandikiza kansa ambayo inaimaliza taratibu magamba. Allihamdulilaah
 
hata mimi niliiona, nikasema leo hbr itakuwa star tv, nimeangalia mwanzo mwisho, hawajairusha. nao inatakiwa tuwavue gamba
 
Chadema iwe makini na hawa wageni..icje kuwa tatizo kabla ya 2015.ikakaribia uchaguz wakarud walikotoka,itaharibu dira ya Cdm
 
Nimeongea na Mkiti wa vijana wa ccm mkoa wa Tabora sasa hivi habari hizo si kweli ni uzushi wa hali ya juu anaye bisha aseme nimpe namba ya kamoga ambae ndie mkiti wa mkoa aongee nae. rubish !
kama ni rubishi, wanaotakiwa kuitwa rabish ni star tv, kwani ndio walimwonesha akisema maneno kwenye hints zao 16:00hrs. Kilichonishangaza, ni habari kutorushwa saa mbili kamili ambapo mie nilijiandaa kusikiliza kwa makini hali iliyosababisha nisitune chanel nyingine. Kama itakuwa ni uzushi, basi star tv, waombe radhi
 
Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.


Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!

kati ya watu wasiotakikana cdm according to m4c pale cdm square ni nape
 
Leo saa kumi jioni Star Tv kwenye kipindi chake cha 'Vidokezo vya Habari' kumetokeza habari kwamba Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Tabora amejiunga na Chadema.


Ama kweli M4C inashika kasi kubwa.
Tunamsubiri mpendwa wetu Nape Nauye ambaye ameshindwa kututhibitishia hapa JF uanachama wake wa ccm. Cross the floor and welcome Nape.CDM is your sweet home!

habari hii mbona kama haijakamilika hivi,
umetuwekea source sawa lakini ingekuwa vyema zaidi kama ungetutajia na jina la mhucka
 
Kama anasema sio ukweli basi hamnazo; unajua kuna vitu vikikutokea unakubali tu inakuwa hivyo maana huenda ni sauti ya mungu hiyo inamwita CDM, sauti ya wengi sauti ya mungu. Hatuna haja ya kumpigia ila kama amekataa atatujutia saa ikifika; ajue ukombozi ni lazima, mzungu aliondoka itakuwa ccm ya JK alochoka hata kufikiria???
 
hiki Chama Cha Mafisadi kinakufa asilani. hakuna wa kzuia anguko la CCM.

Hii ndo post yako ya piki tangu ujiunge na JF 22nd May 2012. Hebu tupe taarifa kamili maana hapa ni kama unachangia kama mimi tu.
 
Hii post iliwekwa hapa jamvini jana wakaja watu wakakanusha kwamba ni uzushi. Je muanzisha thread wa leo ana uhakika na habari hii???
 
Back
Top Bottom